Yupo kwao, ila Yahaya ndio sijui yupo wapi
yahaya yupo dodoma eti na yeye yupo kwenye msafara wa rais
Naomba namba yake.
Kuweni serious jamani, mainda yupo wapi?
Jamani mimi namaanisha ni kweli napenda kujua yuko wapi kaacha kuigiza? Tafadhali mwenye details za uhakika atufahamishe.Kuweni serious jamani, mainda yupo wapi?
ni ukweli kabisa hata mm nampenda sana mainda, angejua alivyo na washabiki angejitokeza tu jamani.
Yupo BBM muda wote, kama upo serious na una BBM ni PM nikupe pin yake......
Yupo BBM muda wote, kama upo serious na una BBM ni PM nikupe pin yake......
teh teh teh ndo unapeenda mwenyewe khaaaaNa instagram yupo Massa yote anatumia maindasmallbaby