Wont be the same
JF-Expert Member
- Aug 15, 2024
- 1,564
- 2,483
Wakuu sasa naona wameamua kuwatumia na wasanii ili kuwananga viongozi wa dini, juzi tulimsikia Sheikh Mwaipopo na sasa ni wasanii. Vita dhidi ya haki ni nzito
===
Msanii wa filamu Tanzania Jimmy Mafufu ambaye pia hivi karibuni alitangaza kurudi CCM akitokea CHADEMA amehoji kauli zinazotolew ana viongozi wa dini ni Bwana (Mungu) ndiye amewaagiza ama ni msimamo wao binafsi? Mafufu ameyasema hayo jana 23/04/2025 alipokuwa akizungumza na waandishi wa habri.
Amehoji mbona Lissu na wenzake walipozungumzia uasi viongozi hao hawakusema kitu?
Soma: Pre GE2025 - Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC): Wote waliokamatwa kwa kudai haki, wakiwemo viongozi wa vyama vya kisiasa, waachiwe haraka na bila masharti