GLORY TO GOD
Member
- Oct 15, 2012
- 45
- 12
Sasa nyie
mnaobonyeza "like" ina maana hiyo habari inafurahisha? Watu wengine
mnashangaza sana. Mnaletewa habari ya kifo, then mna bonyeza "I like
this". What exactly do you like about the death of this young man.
R.I.P, Sajuki.
Sasa nyie mnaobonyeza "like" ina maana hiyo habari inafurahisha? Watu wengine mnashangaza sana. Mnaletewa habari ya kifo, then mna bonyeza "I like this". What exactly do you like about the death of this young man. R.I.P, Sajuki.
Aisee, anbilivabo!!because death ndo mwisho wa kila binadamu sasa wewe ulitaka usi like kifo cha Sajuki(kupumzika) ulitaka afe ndugu yako?hakuna aliyekuja kuurith ulimwengu hata wewe utakufa na nikipata taarifa za kifo chako nta hit LIKE!
Ile show ya mkasi huwa recorded then inarushwa cku yoyote, so nadhani kwa mda ule alikuwa mgonjwa.!
something wrong i hold my head
sajuki gone our nigga dead
r i p
R. I. P. Sajuki. Nikiiangalia movie yako ya Brifcase nalia kwa machungu. Tumepoteza jembe ktk tasnia ya filamu.
Sajuki na wastara wameacha history ya mapenzi ambayo kila mtu atajifunza...so sad mungu kakupenda zaidi
because death ndo mwisho wa kila binadamu sasa wewe ulitaka usi like kifo cha Sajuki(kupumzika) ulitaka afe ndugu yako?hakuna aliyekuja kuurith ulimwengu hata wewe utakufa na nikipata taarifa za kifo chako nta hit LIKE!
Wastara ni Mwanamke wa pekee sana.
Wachache sana kwa miongoni mwa mabinti wa kisasa wenye moyo mkubwa kama wake!
........ Pole sana kwa wafiwa hasa mkewe..... ni kijana aliyekuwa wa mfano katika kuweka maisha yake vizuri hasa kujituma kupitia sanaa R. I. PBaada ya kuugua kwa muda mrefu huku akikumbana na madhoruba ya hapa na pale kutoka kwa waigizaji wenzake wa Bongo Movie, hatimaye msanii Sadiki Juma Kilowoko maarufu kama Sajuki amefariki dunia leo asubuhi katika Hospitali Taifa ya Muhimbili alikokuwa akipatiwa matibabu. Sajuki alikuwa amepungukiwa damu na alishindwa kupumua na kulazimika kutumia mashine kupumulia..
Huyu bwana nilipomuona tu pale uwanja wa Shehk Amri Abed Arusha aliposhindwa kusimama na kuanguka nishapata wasiwasi kuwa jamaa hana muda mrefu! R.I.P Sajuki