Hivi huyu si alidakwa na sembe china akiwa na mwana mfalme
Ikabidi mfalme apande pipa kwenda kuwaokoa
Bei yake ikawa ni mkataba wa gesi ya Mtwara na Bandari ya Bagamoyo
Ni aibu sana kwa mtoto wa kiume kuamini upuuzi kama huu.
Tapeli na mdokozi huyo ..muongo muongo...very possible aliazima eneo ili washoot tu..sio wa kumwamini hata kidogo
Tobaaa..mpaka mgomba ukakauka?sio mchezosiku alipodakwa mashee wa tanga wote walijikusanya walikaa wakaomba dua hadi mti wa mgomba ukanyauka on the spot,uzuri jamaa anajua kuishi na wazee kule tanga wanamkubali hawakuwa tayari kuona analost