Msanii Joseph Haule (Prof. Jay) ajiunga CHADEMA

pipooooozi! minapendekeza prof aambatane na viongozi wa kanda ya kusini akawashe moto huko. tuwazike nyinyiemu kabisa.bado dada yetu Jide.
 
Karibu sana Prof. J nadhani wengine wanangojea kipima maji...hah ah ah ah ah achezea CHADEMA wewe!!🙂🙂🙂

QUOTE=omujubi;6400969]msikonde wakuu, huyu hapaView attachment 94611[/QUOTE]
 
Safi sana mkuu jay umeonyesha kua kweli wewe ni kioo cha jamii.
 
Jay Msolopa ganzi mwanasiasa aliyebarikiwa na Mungu kusini mwa jangwa la sahara.... karibu CHADEMA Bro
 
Safi sana, wasanii amkeni siyo kukaa mnatumika na maCCM kisha yanawamwaga, karibu sana komandao Jide,
kwa hili hata kamanda Matola Brigita. Molemo Arushaone watakusupport, karibu Jide.
 
Last edited by a moderator:
TRA am sure kesho ama leo usiku watavamia kwake na awe makini sana na safari zake kwa kuwa CCM kuwa the other is regarded as war

Hilo haliwezi tokea na kama ikitokea yatakuwa makosa makubwa mno, wasiwasi wangu ni kuona chama cha upinzani kikiwa na idadi kubwa ya wasomi wa level ya form ambao kiuhakika hawawezi kuiwakilisha vizuri nchi yetu hasa katika mambo ya msingi hasa kusaini mikataba mbalimbali otherwise watakuwa wapigadomo tu ila katika utendaji wataboronga.
 
Ila awe makini kwani, mi-ccm ina wivu na hila za kipuuz...
 
Hapo vipi?...hapo sawaaaaaaaaaaaaa....kindergaten mpaka chuo kikuu.
 
huku cdm kazi tu, na ukilemaa kidogo tu ccm wanakula kichwa chako huku ukiona!

akamuulize kamanda lema, kamanda msigwa, kamanda lissu, na wengine kibao!

Karibu kamanda na kila la kheri sana!
 
Chorus:
Naamini nitashinda mwenyezi nioneshe nuru,
Wenye roho mbaya na chuki wasinidhuru,
Visa ndiyo vimetanda na wanga kwenye msururu,
Ipo siku ntashinda Profesa nitakukuwa huru.

Verse:
Naamini nitashinda,niko vitani dhidi ya shetani.
Dhamira iliyo kichwani ni kumkana na kumlaani.
.............................
 

Nimeipenda hiyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…