TANZIA Msanii Golden Jacob Mbunda(Godzilla) afariki dunia

Mkali wa Hiphop na Freestyle Godzilla amefariki usiku wa kuamkia leo tar 13/2/2019. Alikua amelala kwake umauti ukamkuta Ghafla. Taarifa zaidi zitaendelea kutolewa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama mimi aisee, nampenda sana baba yangu ingekuwa ni kuchagua ningeomba nitangulie kabla yake ila kifo ni fumbo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
We naye ...humjui zilla..mie sifatilii sana bongoflava lakini niamshe saa9 uniulize nampenda msanii gan..nitamtaja zilla..yaan nimepiga ukunga ghafla..nimeumiaa..!we si unapenda manyimbo yenu yale ya bob marley[emoji23][emoji23]
Kwahiyo umelia hadi machozi? [emoji849][emoji849]. Mi nasikia jina tu lkn sijui wimbo wake hata mmoja. Aisee mi nilikuwa napenda mziki balaa enzi zangu hakuna mziki nisioujua, miziki ya aina yote sichagui. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Eti Bob Marley.. of course nikitaka kurelax nasikiliza sweet reggae
 

Nyimbo ya salasala weka mbali na watoto...
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…