Msanii Dulayo wa Naumia roho

nemoo

Senior Member
Feb 23, 2015
104
19
Huyu jamaa nae ni mkali sana cjui kwann hatok dah wadau ebu tumjadil huyu jamaa Management au.........Kisakaaaa!!
 
Dah ila jamaa mkali sana aisee ana vocal flan hv amazing dah
 
Anashindia pombe asubuhi mpaka jioni..
Kakonda kawa kama Daz bab sahv..
 
Huyu jamaa nae ni mkali sana cjui kwann hatok dah wadau ebu tumjadil huyu jamaa Management au.........Kisakaaaa!!

Alishatoka ndio maana tunamfahamu, tatizo ni KUmaintain...inahitaji zaidi ya kipaji, inahitaji SKILLS au UFAHAMU wa nifanye nini.
 
jamaa anapiga sana mitungi ila ana stori sana...mkikaa meza moja lazima mcheke sana kwanza anajikubali dunia nzima...
 
Endeleeni tu kunijadili,nadhan ntajifunza kitu hapa.

Pombe nakunywa kama wengne wanywavyo si kweli kwamba mi ni mlevi kama wachache wanavonituhumu
 
aiseee! limekuchoma umeamua kujilipuaa
 
Endeleeni tu kunijadili,nadhan ntajifunza kitu hapa.

Pombe nakunywa kama wengne wanywavyo si kweli kwamba mi ni mlevi kama wachache wanavonituhumu

Binafsi kama ww ni Dulayo nakukubali sana ndo mana nikaanzisha mada hii ni pm pls
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom