aisee CowObama umetutoka kamanda kweli????..mbn last time tumegonga sana vyanda na hukusema kama unaenda SA hurudi..?
Return If Possiple..CowObama...tuendelee East Zoo
Gone too soon brother.... Naisikilizaga sana ngoma yake ya "ahadi za boss" akiwa na wenzake wa Chamber Squad, sijawahi kuichoka hii ngoma! Japo stail yake ya hapa mwishoni nilikuwa siikubali ila sijawahi kukataa uwezo na kipaji chako!
Pumzika kwa amani Ngwea.
Nilianza kumkubali kwenye wimbo wake wa dakika 1, nayakumbuka sana haya maneno "Naomba unipe japo dakika moja tu, ya kuongea mimi na wee". R. I. P Ngwea aka mzee wa Dom.