There are currently 8961 users browsing this thread. (273 members and 8688 guests)
#FAHAMU ‏@sammisago6m #BREAKING Nazidi kupokea habari kutoka S Africa Pretoria Kuwa Ngwear Hajafa, Kuna Kundi La Vijana Wanasambazi hizi taarifa kwa ndugu zao TZ Collapse
Na nyie mods mbona mna kiherehere hivyo? Ndo nini sasa kuihamisha hamisha hii mada...mara muipeleke selebrite mara muilete habari mchanganyiko mara muirudeishe tena selebrite....mmelewa gongo nyie?
#FAHAMUsammisago 1m #BREAKING Nazidi kupokea habari kutoka S Africa Pretoria Kuwa
Ngwear Hajafa, Kuna Kundi La Vijana
Wanasambazi hizi taarifa kwa ndugu
zao TZ
sio kila mtu anapenda kile kinachopendwa na wote
kuna mwingine mieleka,mpira,bongo freva na wakina mimi gospel kila mtu ana ushabiki anapopajua yeye!!
Mf, 1.mimi binafsi Ngwear namjua coz kipindi anaanza kuimba nilikuwa napenda sana bongo freva lkn kwasasa hata ukiniambia Godizilla hata sura siijui naskiaga jina tu coz sio mshabik!
2. Kuna watu nawasikiaga waktajwa majina yao vijiwen kwenye ubshan wa mpila J.kaseja
na M.ngasa lakn hata ukipanga team nzima siwez kuwapoint coz siwajui na wala sjui ni wa club gani!!
Basi usimlaumu mwenzio!!
Yote kwa yote
R.i.p A.Mangwear
Na nyie mods mbona mna kiherehere hivyo? Ndo nini sasa kuihamisha hamisha hii mada...mara muipeleke selebrite mara muilete habari mchanganyiko mara muirudeishe tena selebrite....mmelewa gongo nyie?