Akili na kipaji ni vitu viwili tofauti kabisa, kuwa na kipaji ukakosa akili ni bora ukawa na akili ukakosa kipaji.
Kuna wenye vyote(vipaji/vipaji na akili) sasa hiyo huwa ni bonus.
Miaka kama minne nyuma niliwahi kumuona akiwa anakatiza kama mfungwa gereza la Kingolwira Morogoro. Walikuwa wanaenda kupiga kazi sehemu na wafungwa wenzake kama kumi hivi.