Albert Msando anayo haki ya kumwombea mchango mtu yeyote yeye binafsi, lakini je ni halali yeye kupinga Rais kama taasisi isitoe mchango. Ila yeye ndio aitishe mchango kwa wananchi kwa kutatua tatizo lile lile ambalo Rais kama taasisi alishatoa maamuzi kulimaliza?
Huu si utapeli kwa kutumia mgongo wa taasisi ya Ikulu maana Rais taarifa yake inafika mbali na kutumia taarifa ya Ikulu kuombea michango ni kujipatia mali kwa njia ya udanganyifu. Kumbuka kaweka namba yake na si ya mhusika je huu si utapeli? Je, Rais kamtuma amwombee na kwa taratibu gani za ofisi ya Rais?
Swali kubwa ni, je ni halali kuingilia maamuzi ya Rais?? Yeye kasema atalipa yeye. Je, ni raia gani anaweza kumpinga Rais?
Rais anaweza kusamehe kijiji kizima kisilipe kodi je kuna mwingine anaweza sema tuwalipie Rais asiwasamehe??
Huku sio kumpinga Rais?
Angalizo: Tusiidhalilishe taasisi ya Urais kwa kuamini ni maskini haiwezi kumlipia mtu milioni tano. Siami kama Msando hajui Rais ni nani na kama anajipendekeza atafute njia nyingine.
Ombi langu kwa msemaji wa Rais amkataze Msando kwa kile anachokifanya maana ni utapeli na udhalilishaji wa ofisi kubwa ya nchi.
View attachment 1179205
Hata Bashite anatumia jina la uncle kukusanya fedha kwa wafanya biashara wakubwa Dar.Anataka kutumia jina la rais kutapeli, kuna watu walishawahi kukamatwa kwa utapeli wakitumia jina la mama Salma Kikwete na mama Janeth Magufuli, na huyu naye yuko kwenye aina hiyo hiyo ya utapeli.
Unatia Aibu. Ila kumchangia mange ilikuwa sawa.
Albert Msando anayo haki ya kumwombea mchango mtu yeyote yeye binafsi, lakini je ni halali yeye kupinga Rais kama taasisi isitoe mchango. Ila yeye ndio aitishe mchango kwa wananchi kwa kutatua tatizo lile lile ambalo Rais kama taasisi alishatoa maamuzi kulimaliza?
Huu si utapeli kwa kutumia mgongo wa taasisi ya Ikulu maana Rais taarifa yake inafika mbali na kutumia taarifa ya Ikulu kuombea michango ni kujipatia mali kwa njia ya udanganyifu. Kumbuka kaweka namba yake na si ya mhusika je huu si utapeli? Je, Rais kamtuma amwombee na kwa taratibu gani za ofisi ya Rais?
Swali kubwa ni, je ni halali kuingilia maamuzi ya Rais?? Yeye kasema atalipa yeye. Je, ni raia gani anaweza kumpinga Rais?
Rais anaweza kusamehe kijiji kizima kisilipe kodi je kuna mwingine anaweza sema tuwalipie Rais asiwasamehe??
Huku sio kumpinga Rais?
Angalizo: Tusiidhalilishe taasisi ya Urais kwa kuamini ni maskini haiwezi kumlipia mtu milioni tano. Siami kama Msando hajui Rais ni nani na kama anajipendekeza atafute njia nyingine.
Ombi langu kwa msemaji wa Rais amkataze Msando kwa kile anachokifanya maana ni utapeli na udhalilishaji wa ofisi kubwa ya nchi.
View attachment 1179205
This is BS to another level.., na cheap politics.., mbona wa kusaidiwa ni wengi.., kama huyu ameshangiwa kwanini asichange pengine ? Shule zote zina madawati ?.., watu wanaohitaji msaada wa kisheria wamekwisha.., yaani wanagombania mtu wa kusaidia... ? Promo at work...
Hakika na tumuombe mh rais alikemee vikaliNahisi alufu ya utaperi hapa
Msando na taaluma yake hajui km hilo tatz ni la mfumo
Inasokitisha sana naona na kina Mwana fa nao wamegeuka wapiga Matarumbeta wa Rais ni mwendo wa kujipendekeza tu
Xax hyo mama ni wa Muhimbili, vp wale wa Tandahimba, Katonto-Sumbawanga sauti zao nan anawaskiliza!?
Vip kesho akitokea na mwengne Teule, Muheza Msando ataitisha tena michango!?
Tumekuwa watu wa kujipendekezapendekeza tu km Mazombie
Ww Msando km unautaka Ubunge kuna haja gn ya kujitoa ufahamu km kweli unajiamin.
Sisitiza Bima ya Afya nchi nzima
Piga Kampeni hata ya Mtaa wako wawe n Bima ya afya cyo Michango
Yn wakt mwengne wanatua kinyaa sana hawa jamaa
Jitu somi lkn linakuwa pumbavu
Badala ya kudeal na tatizo yey anahangaika na matokeo