Msambwanda ni furaha ya macho tu

Thread ya uhakika kabisa, ila mwenzetu sijajua waongelea misambwanda ilioumbika na kukaa vyema au mikubwa tu bila mpangilio? Ila naamini haijalishi kama mzigo mzito au mwepesi, kama ua lajuwa kuhangaika na kuchangamka kwenye 6 x 6 acha kabisa, kunogile...Tatizo hawa wa kileo hawachezwi, ni ule ufundi naona mama zetu wanakufa nao, uzungu umezidi sana siku hizi, kuchoka kwingi au kuwa kama gogo tu kama sio vichwa kuuma! Wanaume twapata shida...
 
Daaaaa

Hayaa mambo haya ni magumu sana, waatoto wazuri kwa shape ila tabia chafu kama dekio la chooni

Sent from my HUAWEI Y530-U00 using JamiiForums mobile app
Siku hizi hata madada wabaya baadhi yao huwa na tabia mbaya na chafu,ni bora nibebe mdada mwenye kiuno kama dondora tabia tuyajua hukohuko,kuliko kubeba mdada mbaya sura nabado anatabia chafu.
 
Wanawake wazuri usoni wengi wao wana tabia chafu

Sent from my GT-I9082 using JamiiForums mobile app
Siku hizi hata wabaya usoni,wengi wao wanatabia mbaya,we fanya uchunguzi wanawake wa watu wanaoliwa hovyo,ni fityfifty,bpra ubebe mzuri tu hamna namna.
 
Team Potable tupeane like za kutosha...Nakiri kamwe sijutii mwili wangu..Team Potable
Kumbe na wewe ni ke
Dah! Itakuwa kiportable safi sana wewe



sent from my Samsung smart tv using JamiiForums
 
Hahaaaaah.. Jiko la jela halichagui kuni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…