Msambwanda ni furaha ya macho tu

hahahahaha nachekakama mazuri! na kweli mie nafit kwenye ushangingi aisee! na si unajua swag za mashangingi! anasuka nywele(weave) ukilifumua mnasukia watu wa3!bichwa hilooooooooooooooooo! Alafu sasa short chasis hatareeeeee
Nakuona... nakuonaa
 
Pole sana mkuu, umerudi nyuma hatua kadhaa

Huko utakutana na mbavu tu, ukiyumba kidogo umegonga mfumpa

huenda ulikuwa unakutana na misambwanda isiyoyajua na kukupatia vizuri, tulia tafuta msambwanda hutataka tena huto tumwanamke tulitopigwa pasi

Daniel Agger
"mwanaume mashine"
 
hahaha so upo kwa wenye viportable au? mie mpk sasa sijajua nakaa wapi!ila hapana portable sipo... hahaha mtu unaweigh 89kgs unajiitaje portable sasa heheehh!napambana kwakwel
89kg? Punguza kidogo aisee, unless kama upo mrefu zaidi ya 1.75m, kama upo chini ya hapo ni shida.
 
hahaha yaan unataka useme tunakosa market so bidhaa inadorora? urongo tupu mkuu usitupoteze kwenye reli!hitaj lipopale paleee

Sio mnakosa soko, mkimuelewa mtu sio ngumu kutoa. Hawa viportable wanaringa sana. Anaweza kukulia pesa yako mpaka ukachanganyikiwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…