Msambwanda ni furaha ya macho tu

Msambwanda ni furaha ya macho tu

Nanoli

JF-Expert Member
Joined
Oct 15, 2015
Posts
3,739
Reaction score
5,978
Habari za kutwa wadau wa mambo yetu yale,

Siku hizi kumeibuka vijana wengi kupenda misambwanda na hii imepelekea wadada wengi kutumia madawa ya kichina kuongeza makalio na wengine kupelekea kufanyiwa upasuaji.

Wanawake wanabadilika kutokana na mahitaji ya wanaume wanachovutiwa nacho kuendana na wakati ili na wao wasiwe wanakosa mtu anayewavutia.

Nikiri wazi kabisa, misambwanda inapagawisha unapokutana nayo, usipokua makini waweza kuacha njia au ukagongwa na vyombo vya moto. Lakini, unapohitaji kufaidi hivi viumbe, misambwanda sio dili.

Hivi viuno vya dondora hivi ndiko tunakoacha maisha na uhondo wenyewe, walah! Kiuno cha dondora kina mambo mengi mno.

Walah! Kiuno cha dondora utake style gani usipewe, uende goli ngapi usipewe.

Nilikua muumini mkubwa wa msambwanda, lakini nimegundua naibiwa, nahamia mtaa wa saba.
 
Ndio maana mara zote mi huwa napenda vi portable, kwanza huwa najipimia mwanzo mwisho misambwanda sio dili.
Hebu piga hata mahesabu madogo, je kama gesti itawaka moto msambwanda utaweza kuubeba kukimbia nao?? Lakini kiportable unakiweka begani, ndukiii

sent from my Samsung smart tv using JamiiForums
 
Tupiamo na tupicha

Sent from my TECNO-N8 using JamiiForums mobile app
1a79faf4904435cb7759f25a6f9f6735.jpg

sent from my Samsung smart tv using JamiiForums
 
Ndio maana mara zote mi huwa napenda vi portable, kwanza huwa najipimia mwanzo mwisho misambwanda sio dili.
Hebu piga hata mahesabu madogo, je kama gesti itawaka moto msambwanda utaweza kuubeba kukimbia nao?? Lakini kiportable unakiweka begani, ndukiii

sent from my Samsung smart tv using JamiiForums
Hahahaaah.... Yaani me naona tunapishana na vitamu tu...
 
Baada ya miaka mitano kunzia sasa tutashuhudia wanawake wengi wakiwa na ugonjwa wa makalio yao, na hiyo itatokana na madhara ya hizo dawa wanazotumia. Tusubiri ni swala la muda tu, tutajionea sinema za buree na ma.ta.ko midembwedo barabarani.

na wengi wanaoringia miswambwanda akili zao zipo huko huko ma.ta.koni, na hawajitambui na wanatumia kama kivutio ili kuwachuna wanaume wakwareee

Viportable ndio mpango mzima.
 
Back
Top Bottom