Msambazaji wa samaki wabichi aina ya Sato

TK90

Member
Joined
Oct 20, 2014
Posts
6
Reaction score
2
Kwa jina naitwa Esther mimi ni msambazaji wa samaki wa bichi aina ya SATO kwa jumla na rejareja napatikana Dar es Salaam na Morogoro pia.

Kwa anayehitaji anipigie 0653441636. Bei zetu ni nafuu na hatuna charges za kumpelekea mteja mzigo. Karibuni sana mteja kwetu ni mfalme na malkia pia karibuni sana.

Wateja wetu wa kwanza wa tano huwa tunakuwaga na zawadi kidogo karibu pia ujionee zawadi hiyo ni ipi!
 
Sithole bei naomba unipigie utapata asante
 
Manyesa per kilo jumla naunza 6400 SATO rejareja kilo nauza 8500 kwa Dar so karibu sanaa
 
Kwa jina naitwa Esther mimi ni msambazaji wa samaki wa bichi aina ya SATO kwa jumla na rejareja napatikana Dar es Salaam na Morogoro pia.

Kwa anayehitaji anipigie 0653441636. Bei zetu ni nafuu na hatuna charges za kumpelekea mteja mzigo. Karibuni sana mteja kwetu ni mfalme na malkia pia karibuni sana.

Wateja wetu wa kwanza wa tano huwa tunakuwaga na zawadi kidogo karibu pia ujionee zawadi hiyo ni ipi!

Nina duka la samaki arusha, lina friza zaidi ya 6 na chumba cha biashara ni cha kwangu (siyo cha kupanga), nipo ndani ya soko na bussines location yangu ni nzuri sana. nahitaji sana MTU kama wewe, tatizo namba ulioweka haipatikani. Unatoa MZA au MSM?, kwa jumla utanipa kwa Bei gani?
 
Baba JJ nipigie napatikana now cunajua simu zetu hizi nipigie tubongee
 
Back
Top Bottom