Vaislay
JF-Expert Member
- Jun 26, 2011
- 4,532
- 1,840
Hujawahi kuniomba msamaha hata siku moja na jana tu ulikosea...Mm huwa naomba msamaha na uzuri wa kuomba msamaha ni mtu asirudie hilo kosa ila sio kila siku unaombwa msamaha kwa kosa hilohilo.
Hujawahi kuniomba msamaha hata siku moja na jana tu ulikosea...Mm huwa naomba msamaha na uzuri wa kuomba msamaha ni mtu asirudie hilo kosa ila sio kila siku unaombwa msamaha kwa kosa hilohilo.
Hujawahi kuniomba msamaha hata siku moja na jana tu ulikosea...
Nimekusamehe ila siku nyingine usisubiri kukumbushaaa, sawa baba?Nisamehw mpenzi wangu.
Nimekusamehe ila siku nyingine usisubiri kukumbushaaa, sawa baba?