Msamaha

Msamaha

gatty

Member
Joined
Feb 28, 2014
Posts
64
Reaction score
13
Katika pita pita zangu Leo nimekutana na kundi la watu wa kike na wakiume wakibishana baadhi ya upande wa kike wamelalamika kuwa wanaume wengi huwa ni wagumu kusema neno samahani au naomba unisamehe hata kama kafanya yy kosa kuomba samahan ni shughuli mmh huku wanaume wanadai wanawake ndio wagumu kuomba msamaha, niliishia kuwasikiliza tu ckuwa na Mimi majibu zaidi niliona bora nipate na Mimi maoni yenu kwenye hili jamvi......! Asante
 
Mm huwa naomba msamaha na uzuri wa kuomba msamaha ni mtu asirudie hilo kosa ila sio kila siku unaombwa msamaha kwa kosa hilohilo.
 
Mim huwa naomba msamaha mpaka nalamba miguu ya baby wangu hata kama kosa ni lake msamaha ntaomba mimi mwee! mwee! mapenz haga manofu.
 
1377240_599714890066209_344426050_n.jpg
 
Unatakiwa uombe samahani unapokosa,na siyo anapokosea yeye na huko ndiyo kujitambua kwenyewe....
 
asilimia kubwa ya wanaume ni wagumu kuomba msamaha!!!na ukifanya masikhara kibao unageuziwa wewe mwe:shocked:
 
Men ni wagumu kuomba msamaha bt akisema jua kamaanisha na anajutia alolifanya
 
Wawili sie kwetu tunaombana msamaha hivyo siwezi amuwa!
 
kiukweli wanaume ni wagumu sana kuomba msamaha hata kama amekosea .....
 
Katika pita pita zangu Leo nimekutana na kundi la watu wa kike na wakiume wakibishana baadhi ya upande wa kike wamelalamika kuwa wanaume wengi huwa ni wagumu kusema neno samahani au naomba unisamehe hata kama kafanya yy kosa kuomba samahan ni shughuli mmh huku wanaume wanadai wanawake ndio wagumu kuomba msamaha, niliishia kuwasikiliza tu ckuwa na Mimi majibu zaidi niliona bora nipate na Mimi maoni yenu kwenye hili jamvi......! Asante

mkurya aseme forgive me honey/sweetheart/wife/queen??

impossible.. labda awe ameenda kidato!
 
asilimia kubwa ya wanaume ni wagumu kuomba msamaha!!!na ukifanya masikhara kibao unageuziwa wewe mwe:shocked:
na ukigeuziwa kulaleki huwa kinakuzwa saaaana ili kiue kile chako!

mtatukoma tu pasaka hii...!
 
Mi naona inategemea na Mnaishije/mnachukulianaje kama;

Kishikaji hapo utasikia ,"aaah bwana eeh kama vip potezea" , "we nawe kwani kitu gani mpaka umind" utajijua mwenyewe"
Kistaarabu/kujitambua lugha nzuri itatumika..
So wanaume kwa wanawake wote kapu moja....kikubwa kila mtu ajitambue,alipokosea aombe msamaha ,na alipokosewa pia.
 
Samahani ni neno tu kama maneno mengine. Kitu muhimu ile kuwa na nia na moyo dhahiri wa kubadilika pale unapohisi umekosea kwa mwenzi wako.

Ila kusema tu samahani kwa mazoea ni kama salam tu.
 
Katika pita pita zangu Leo nimekutana na kundi la watu wa kike na wakiume wakibishana baadhi ya upande wa kike wamelalamika kuwa wanaume wengi huwa ni wagumu kusema neno samahani au naomba unisamehe hata kama kafanya yy kosa kuomba samahan ni shughuli mmh huku wanaume wanadai wanawake ndio wagumu kuomba msamaha, niliishia kuwasikiliza tu ckuwa na Mimi majibu zaidi niliona bora nipate na Mimi maoni yenu kwenye hili jamvi......! Asante

mm namuomba msamaha, lakin akiniona ninavyomwomba msamaha anaanza kulia tena yeye na kunisisitiza nisirudie......... Hapo inakuwa full aman na anakuwa na heshma kama ndio tunaanza mahusiano
 
wanaume wana njia zao kuonesha wanaomba msamaha na kujutia kosa walilofanya. ila wadada / wamama wanahisi wanaume ni wagumu kuomba msamaha kwa sababu ni vigumu mwanaume kutamka kwa maneno. kama ilivyokuwa vigumu kuona mwanaume akitoa chozi
 
Back
Top Bottom