Kyalow
JF-Expert Member
- Mar 6, 2011
- 3,563
- 2,616
AhahahahahaBasi ndio usubiri hadi ukiwa na uhakika ndio utoe hiyo ahadi tena.
AhahahahahaBasi ndio usubiri hadi ukiwa na uhakika ndio utoe hiyo ahadi tena.
Sasa tunapeana 'Ole' tena[emoji12].Mpendwa kumbuka huenda kwa namna moja ama nyingine umesababisha yeye kutenda huo uasherati.huenda bila wewe asingetenda hiyo dhambi.tunaambiwa Ole wake amsababishiae mwenzake makwazo.yakupasa kuomba msamaha na kwake pia.Tengeneza amani naye.
We cheka tu!Ahahahahaha
Hata sisi dhaifu piaNiombee mwezio
Unajua sie dhaifu sana
Sisi udhaifu unaongezeka kwakua tuna vichwa viwiliHata sisi dhaifu pia
Ndio mlitakiwa muwe imara zaidi maana vichwa viwili sio mchezo.Sisi udhaifu unaongezeka kwakua tuna vichwa viwili
Umeona tofauti hapo?
ukichelewa sikubali ujue ...., shauri lako kama hujakaa na hiyo dhambi[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
It wasnt my fault, ila wewe ndio ulikuwa tatizo.
Akuuu siombi msamaha!!ukichelewa sikubali ujue ...., shauri lako kama hujakaa na hiyo dhambi
Dah! mim hiz lips tu jaman nikiziona tu naishiwa nguvu mwenzio mpaka nachanganyikiwa kabisa yani! Tena na hivi umetabasamu ndo kabisaa umenimaliza![emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Acha ubandidu!
Hebu niombe msamaha!!Dah! mim hiz lips tu jaman nikiziona tu naishiwa nguvu mwenzio mpaka nachanganyikiwa kabisa yani! Tena na hivi umetabasamu ndo kabisaa umenimaliza!
I'm sorry but why?Hebu niombe msamaha!!