Msamaha kwa wale wote waliotukosea/Tuliowakosea

There are few things in life that cannot be resolved with kindness. Forgive the one that hurts you and you will find forgiveness back in some way or the other
 
Sidhani kama kuna mtu nilijua kuwa nimemkosea na sikumwomba msamaha. Me nikikukosea nakuwa hadi kero aisee, ntaomba msamaha kama naomba kazi vile lol. And kwa wanaonikoseaga, huwa nawasamehe hata kabla hawajaniomba msamaha + wengine hawajawahi hata kuniomba msamaha. Ila nilishawasamehe na sina kinyongo nao kabisaaaa
Mie sijakusamehe.
 
Hivi imagine umemchumbia mtu ghafla ukamkimbia na akanywa sumu akafariki au mwingine hadi anachanganyikiwa. But hutojuta kwa sababu ni uasherati? Sometimes japo tunashare dhambi ila kuna maumivu tunayowapa wenzetu na yanaweza kubadilisha maisha yako kanisa. There is no harm in asking for forgiveness
Kwa waliofikia huko waombane msamaha, it's okay. Otherwise kwa cases nilizopitia binafsi sioni sababu.
 
Mie wani samehe wote nilio wakwaza, aidha kwa maneno, matendo, maandishi, au kuto timiza ahadi hasa ahadi ya kuoa baadhi ya wadada.
 
Forgive,forget,learn,move on let your tears be the fountain that will water the seeds of your achievements
 
Mie wani samehe wote nilio wakwaza, aidha kwa maneno, matendo, maandishi, au kuto timiza ahadi hasa ahadi ya kuoa baadhi ya wadada.
Basi ndio usubiri hadi ukiwa na uhakika ndio utoe hiyo ahadi tena.
 
Back
Top Bottom