Msamaha kwa walaka wa wazee

Msamaha kwa walaka wa wazee

Mh Joseph Pombe Magufuli mutu ya watu umefanya mambo mengi sana ambayo mengine hata halaiki ilishindwa kuamini kama ungeweza kuyafanya.

  1. Umewasamehe babu seya na wenzake
  2. Umewasamehe askari waliohusika kutorosha dhahabu
  3. Umesamehe mahabusu zaid ya mia nne waliokuwa magerezani
  4. Umemrudisha kazini mkurugenzi wa TPDC ambaye alishafanyiwa figusu na hayupo kazini kwa miak mitatu sasa
Hayo yote sio rahisi kuyafanya, bali ni kwa hekima na huruma uliyonayo ambayo inaongozwa na roho wa Mungu. Wapo watu wanabeza hatua ulizochukua. Binafsi naungana na wewe.

OMBI LANGU KWAKO
Naomba kwa hekima zilizokuongoza kufanya hayo yote. Pia roho wa Mungu aendelee kukuongoza kuwasehe hawa vikongwe wetu wa chama cha mapinduzi. Kwa kuwa wamekengeuka tu. Walisahau kuwa wao hawapo tena kwenye dola. Pengine walizoea kuwaendesha waliopita wakadhani remote bado wanayo kumbe uliondoka nayo pamoja na moto wa kuwabatiza. wasemehe tu wala wasichukuliwe hatua. kwa hatua ulizozichukua kuwanyang'anya mali za ccm ambazo walijimirikisha zinatosha sana. Yangu ni hayo tu.
Acha mara moja kumchezea Mungu baba muumba wa mbingu na nchi. Ingekuwa nyakati zile ambazo Mungu anatoa adhabu papohapo inawezekana domo lingeenda pembeni au ungekufa hapohapo kama ilivyokuwa kwa herode.!

Roho gani wa Mungu unayemwita akaona huruma kwenye walaka wa kinafiki na kishetani asione huruma kwa Lisu, kwa Azory, kwa Ben, kwa Mawazo nk!!!!
 
Yaan wazee wamekaa kimyaa...ww ni nani uanze kuwaombea msamaha??ila nyie ccm mnaumwa nn lakini??
 
Wahamiaji haramu, Waitara & others, mko wapi ? Mbona kimya? Stand up and be counted
 
Watanzania hawa wazee wametukana na Musiba kosa lao ni kulalamika?Mie nilidhani wanaccm wangejiuliza kwanini Musiba kawatukana? Mbona aliyetukana hasemwi wanasemwa waliotukanwa?
Kwa nini pia usijiongeze kufikiri mbona NEPI alimtukana Lowassa na hakuchukuliwa hatua yoyote? Nani alimtuma?
 
Mh Joseph Pombe Magufuli mutu ya watu umefanya mambo mengi sana ambayo mengine hata halaiki ilishindwa kuamini kama ungeweza kuyafanya.

  1. Umewasamehe babu seya na wenzake
  2. Umewasamehe askari waliohusika kutorosha dhahabu
  3. Umesamehe mahabusu zaid ya mia nne waliokuwa magerezani
  4. Umemrudisha kazini mkurugenzi wa TPDC ambaye alishafanyiwa figusu na hayupo kazini kwa miak mitatu sasa
Hayo yote sio rahisi kuyafanya, bali ni kwa hekima na huruma uliyonayo ambayo inaongozwa na roho wa Mungu. Wapo watu wanabeza hatua ulizochukua. Binafsi naungana na wewe.

OMBI LANGU KWAKO
Naomba kwa hekima zilizokuongoza kufanya hayo yote. Pia roho wa Mungu aendelee kukuongoza kuwasehe hawa vikongwe wetu wa chama cha mapinduzi. Kwa kuwa wamekengeuka tu. Walisahau kuwa wao hawapo tena kwenye dola. Pengine walizoea kuwaendesha waliopita wakadhani remote bado wanayo kumbe uliondoka nayo pamoja na moto wa kuwabatiza. wasemehe tu wala wasichukuliwe hatua. kwa hatua ulizozichukua kuwanyang'anya mali za ccm ambazo walijimirikisha zinatosha sana. Yangu ni hayo tu.

Unaongea nini wewe?jifunze kuandika ndio uje uchangie mambo ya nchi,NAKUSAHIHISHA.SIO WALAKA.UNATAKIWA UANDIKE NI WARAKA.SAWA WEWE MTOTO?HAYA NENDA KACHEZE NA WATOTO WENZAKO
 
Watanzania hawa wazee wametukana na Musiba kosa lao ni kulalamika?Mie nilidhani wanaccm wangejiuliza kwanini Musiba kawatukana? Mbona aliyetukana hasemwi wanasemwa waliotukanwa?
Musiba ongeza mzigo kuni zipo za kutosha huku
 
hili goma namuona JK na kopo lake la popcorn anawacheki tuu
 
Wanyang'anywe hadi kadi za chama wakibaki wataunda makundi hawa wapumbuvu in Bashiru's voice .
 
Unaongea nini wewe?jifunze kuandika ndio uje uchangie mambo ya nchi,NAKUSAHIHISHA.SIO WALAKA.UNATAKIWA UANDIKE NI WARAKA.SAWA WEWE MTOTO?HAYA NENDA KACHEZE NA WATOTO WENZAKO
Mdogo wangu, kuzaliwa wa kwanza kuna baraka zake na pia ni ushahidi wa kuona mengi. kwa uelewa wako finyu unaona nimekosea. lakini mm sio mwalimu wa kiswahili kama wewe. nahaisi unatafuta credit C ili ujiendeleze. sisi tumeshavuka huko. Labda nikupe elimu usije ukaumbuka tena. Lafudhi za kiswahili zinatofautiana kulingana na Geographica area na makabila mbalimbali hivyo huwezi kumwambia mmakonde hajasome kwa kuwa mchicha anasema nchicha. hizo ni athari za kimazingira. Wakurya hawan "L" WANA "R". Hivyo nashauri ujitahdi kupata hizo Credit za Olevel ujiendeleze kielimu
 
Wewe nae ni mpuuzi hivi unaweza kuandika eti umewasamehe Askar waliokamatwa na rushwa??, kwahiyo yeye ndiye anayezibariki rushwa ziendelee!!, sema amecheza mchezo wa hovyoo katika Tz ya wasomi wamelingundua na kumpuuza. Mwambie anawaongoza watu wanatafakari sio kipindi cha 1970
 
Mh Joseph Pombe Magufuli mutu ya watu umefanya mambo mengi sana ambayo mengine hata halaiki ilishindwa kuamini kama ungeweza kuyafanya.

  1. Umewasamehe babu seya na wenzake
  2. Umewasamehe askari waliohusika kutorosha dhahabu
  3. Umesamehe mahabusu zaid ya mia nne waliokuwa magerezani
  4. Umemrudisha kazini mkurugenzi wa TPDC ambaye alishafanyiwa figusu na hayupo kazini kwa miak mitatu sasa
Hayo yote sio rahisi kuyafanya, bali ni kwa hekima na huruma uliyonayo ambayo inaongozwa na roho wa Mungu. Wapo watu wanabeza hatua ulizochukua. Binafsi naungana na wewe.

OMBI LANGU KWAKO
Naomba kwa hekima zilizokuongoza kufanya hayo yote. Pia roho wa Mungu aendelee kukuongoza kuwasehe hawa vikongwe wetu wa chama cha mapinduzi. Kwa kuwa wamekengeuka tu. Walisahau kuwa wao hawapo tena kwenye dola. Pengine walizoea kuwaendesha waliopita wakadhani remote bado wanayo kumbe uliondoka nayo pamoja na moto wa kuwabatiza. wasemehe tu wala wasichukuliwe hatua. kwa hatua ulizozichukua kuwanyang'anya mali za ccm ambazo walijimirikisha zinatosha sana. Yangu ni hayo tu.

WARAKA siyo walaka utasamehewa vipi hueleweki unaomba nini
 
Back
Top Bottom