Msaliti hapiganiwi bali anaachwa

Msaliti hapiganiwi bali anaachwa

Eti unamuua😳huoni aibu! 🤨 Nae ana mama ake huyo,umeshindwa mwache.Kwann mnapenda muonekane dhaifu kwenye mbususu...🤔 Mleta mada salute kwako😉
 
Kumbuka utafiti wa wataalam wa afya ya akili ulipofanyika, matokeo yalionyesha kuwa kila penye watu wanne basi mmoja ana Matatizo ya akili [ Afya ya akili sio salama].

Hao unaoskia wanauwa pengine wamo katika kundi la wenye matatizo ya akili.
Nasema hivi kwa sababu pia nimeona wengi wanaacha wanawake bila kufanya matukio hayo uliyoeleza hapo juu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom