Ooh,mi nliona waraka unasema kwa form five wataanz ripot kuanzia july 8 hadi july 28,then baada y hapo kama atakua hajaripot ndio nafas yake itachumuliwa n mwingne ,lakn kuhusiana na kudhibisha nafas aliyo changuliwa mwanafunz nkwa wale walio chaguliwa vyuo tu ,na sio form five kwa form five nkuriport shule kwa hizo tareh zilizopangwa na hakuna kudhibitisha nafs kwa njia ya mtandao mwanfunz aliyo chaguliwa