Msala ambao siwezi usahau kamwe

Daahhh,mzeebaba umenikumbusha miaka ya2003 huko Niko Kwa uncle around darasa lapili hivi nilikua namtoto wauncle nae alikua darasa latatu,SASA kulikua kipindi cha mavuno ya pamba,kama ujuavyo pamba niuti wamgongo wamaeno ya simiyu nashinyanga,pamba ishavunwa iko ndani inasbiriwa kupelekea mnadani kwamkokoteni wang'ombe,
Usiku ulipongia tuko namtoto wauncle tukawa nakibatari kumbuka ndugu msomaji huku nivijijini nakujua naumeme kwahyo chanzo cha nishati nyakati zausiku nikibatari,ikawa tumewasha pale kibatari huku tumebaki nanjiti zaviberiti mikononi huku tukiwa tunavikoleza ktk miale yakinatari pale njiti kadhaa,zinakua zinatoa mlio wa" chwaaAAA"TULIFANYA vile mara kadhaa tukiharibu njiti zakiberiti ,ikafikia Mda tukaanza kubishana hivi hakackanjiti kakibwriti kanaweza kuchoma pamba yote hiii??mwingine anasema hakawezi namm nasema haiwezekani basi tujaribu ,nikachukia njiti yakiberiti nakuiweka ktk kibatari kinachowaka kisha nikakitupia ktk pamba,
Kusema kweli ndugu msomaji ilikua nijanga kubwa Sana kuwahi kutoa tulihangaika kuzima pamba ple namke WA uncle bila mafanikio,akapiga Kelele kuiwaita wanakijiji ili kuja kuzima Moto manaa ulikua mkubwa kiais cha kuleta taharuki,ilikufupisha story ,tulionekana buana watukutu natukaenda kuswekwa selo nakuleta hasara ya mamilioni ya pesa kwasababu haikuwaingia akilini,tulichapwa sticks mbele yahadhara viboko ishirini kila mmoja,nakupewa adhabu yakutolwenda shule week nzima nakuhakikisha tunachambua pamba Safi nailiyoungua ili ilikauzwe ,
 
Pole sana chief
 
Stori nzuri Sana kaka, ila nauliza miaka ya 2020+ then ukakaa miaka 15 mbele , je wewe ni time traveler?
 
my unforgettable misala

kufukuzwa shule primary
kufukuzwa shule advance
kufukuzwa chuo


kila msala una story ya kipekee
 
Maisha yanaenda kasi sana.

Tokea niandike hii comment eti ni miska mi2 tayari.

NIlshaamua kutokupoteza muda na mambo ys kipuuzi maana muda huwa unaenda sana.

Mambo ys miska mi2 nyuma naona ksma nimeyafanya juzi.

Time is ticking.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…