Wana JF,
Ni kwa muda sasa nimekuwa simsikii mwanasiasa na Mchungaji wa kanisa , Christopher Mtikila. Je bado yupo ulingoni au amepigwa pin kiaina? Siasa za nchi hii bila Mtikila naona kama zinapwaya hivi, au kila zama na kitabu chake?
Nauliza kwa yeyote anayejua habari zake atujuze.
Ngoje nitimbe kanisani kwake
Ukirudi njoo na ripoti kamili, tumemmisi mzee wa mahakama, gabachori etc.
toka apate kipigo kure ukryani sasa ana heshimawana jf,
ni kwa muda sasa nimekuwa simsikii mwanasiasa na mchungaji wa kanisa , christopher mtikila. Je bado yupo ulingoni au amepigwa pin kiaina? Siasa za nchi hii bila mtikila naona kama zinapwaya hivi, au kila zama na kitabu chake?
Nauliza kwa yeyote anayejua habari zake atujuze.
Ngoje nitimbe kanisani kwake
Yule mzee hata kama akiongea mambo ya msingi yenye mustakabali kwa taifa watu wengi hawamuungi mkono maana wameleweshwa na wanasiasa kuwa ni mzee wa kesi,ana hoja nyingi za msingi kulitetea taifa.
Unahiataji kuwa kichaa kuweza sema ukweli ktk hii nchi..Waraka wake aliouandika kwa maaskofu wote ......ccm inavibrate mbon umeonekana mkuu ,na siku zilizobaki tutaona mengi sana.Wakti tunashukuru maomi yetu...WANAUSALAMA WETU WANAFANYA KAZI AISEE.​muda mwingine huwa namuona huyu jamaa kama zimeruka hivi kichwani
yupo bize na pingamiz lake mahakamani khs katiba..
haha...hujakosea?​muda mwingine huwa namuona huyu jamaa kama zimeruka hivi kichwani