Unataka nini kwa mteja wangu? Unamdai?
waguma! Acha mautani yako bwana ruttashobolwa. Watu ukiona wanataftana siyo utani bana. Tulishamalizanaga longi tymu ago. Acha mautani yako. Nway umemuona mitaa gani?
na akwambie madame b kwani huyu ruttashobolwa amezidi kuingilia mahusiano ya watu kwa mgongo wa ubushlawyer.

Jamani,
unajua ndipo tunapopataga hela ya kula hapo?
na akwambie madame b kwani huyu ruttashobolwa amezidi kuingilia mahusiano ya watu kwa mgongo wa ubushlawyer.
Mbona swali langu lilikuwa wazi tu na halina misingi ya kuingilia chochote? Tafadhali lijibu!