Kwa hoja za yule mheshimiwa, nakubaliana nae kua Kuna viongozi kua ni wasakatonge! hasa kutoka kule Visiwani. Kwanini wakiwa huko kwao wanasema vingine, na wakija Dodoma Wanasema vingine.

Yah kina mshimba na shamsi vuai nahodha
Mimi nilikua nilijua wasakatonge ni watu wenye maisha magumu Kama ilivoelezwa katika kitabu cha 'WASAKA TONGE NA JUA KALI'kumbe sivo dah. Bunge linatufundisha mengi