Msajili wa vyama vya siasa Tanzania, avifutia usajili wa kudumu vyama vifuatavyo

Hivi NLD tulio isikia wakati wa uchaguzi bado ipo? Na nani kiongozi wake baada ya Mzee Makaidi?
 
Baada ya uchaguzi kuisha matawi ya fisiem yanafutwa ,

Kwa hao jamaa ni tangu lini wapo na wanajulikana, mbona hawakushughulikiwa
 
waifute chadema ina chembe chembe za udikteta. ukionekana unataka uwenyekiti unaundiwa zengwe unafukuzwa. kagombea uraisi njaa imempiga kaenda kugombea ubunge. hahahahaahaha NHC hv ndo wapi vileee.....!!!!!!!!!!!!
 
mbona huongelei chama kinachogawa mabulungutu ya pesa kwa wabunge wake ili kipitishe sheria kandamizi za vyombo vya habari?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…