Hoja ni kwamba Chadema walipokosa accreditation ya mawakala wao hawakuwa na option yoyote zaidi ya kuvunja sheria?hili ni jambo zuri; lakini asiishe hapo vile vile aandike barua kuulizia kwanini mawakala wa CHADEMA hawakupatiwa hati zao hadi dakika za majeruhi. Haya mambo mengine yanaudhi tu. Maana inalazimisha kuhoji kama CDM wasingefanya maandamano (ambayo kwa kweli yalikuwa nje ya muda na sidhani kama yalikuwa na kibali) na yule binti asingeuawa, kweli CDM wangepata lini accreditation ya mawakala wao?
Msajili wa vyama vya siasa nchini jaji mutungi ameiandikia barua chadema akidai kwanini asiichukulie hatua za kisheria dhidi ya maandamano walioyafanya tarehe 16/02/2018,kinyume na utaratibu. maandano hayo yalipelekea kuuwawa kwa mwanafunzi wa NIT ,marehemu Akwilina
Tayari barua hiyo imopokelewa na mkurugenzi wa mawasiliano sera na mambo ya nje wa chadema ndugu John Mrema .
Majibu ya barua hiyo yanatakiwa yajibiwe kabla ya tarehe 25/02/2018
Huyo Jaji anatumika na tunajua nia yake ni kutaka kuifutia usajili Chadema
Lakini na sisi tunapaswa kumuuliza,hivi Chadema walifanya maandamano bila sababu yoyote ile??
Hivi kama Mkurugenzi wa uchaguzi wa Kinondoni asingevichelewesha vile viapo vya mawakala wao, hivi kweli Chadema wangeweza kuandamana??
Wanachofanya hao CCM ni "kuiprovoke" Chadema ili baadaye waitafutie kesi!
Mkuu wewe siyo mgeni wa siasa za nchi hii, hilo hawezi kuuliza hata kwa bahati mbaya. Anajua vema kwanini CDM hawakupatiwa hati zao mapema.hili ni jambo zuri; lakini asiishe hapo vile vile aandike barua kuulizia kwanini mawakala wa CHADEMA hawakupatiwa hati zao hadi dakika za majeruhi. Haya mambo mengine yanaudhi tu. Maana inalazimisha kuhoji kama CDM wasingefanya maandamano (ambayo kwa kweli yalikuwa nje ya muda na sidhani kama yalikuwa na kibali) na yule binti asingeuawa, kweli CDM wangepata lini accreditation ya mawakala wao?
Chadema walikuwa wanaenda kufuata hati za mawakala wao, uongo?
hili ni jambo zuri; lakini asiishe hapo vile vile aandike barua kuulizia kwanini mawakala wa CHADEMA hawakupatiwa hati zao hadi dakika za majeruhi. Haya mambo mengine yanaudhi tu. Maana inalazimisha kuhoji kama CDM wasingefanya maandamano (ambayo kwa kweli yalikuwa nje ya muda na sidhani kama yalikuwa na kibali) na yule binti asingeuawa, kweli CDM wangepata lini accreditation ya mawakala wao?