assadsyria3
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 6,903
- 4,051
Kwa jinsi nilivomsikia akisema kuhusu watu kukatazwa kufanya siasa mfano act,ukawa tena agizo hilo likitolewa na amiri jeshi mkuu wa majeshi ya Tanzania.
hakuna aliemuelewa alichokizungumza.
mbona hagusii viongozi wa ccm mikoa,wilaya ambao wao bado wanafanya siasa mfano wa hivi karibuni ni kule mwanza.
je tuelewe kuwa wanaoruhusiwa kukutana kwenye mikutano ya ndani au ya nje ni ccm pekee? je ni saw a?
ama ukawa ndio hawaruhusiwi kufanya siasa peke yao.
swali mh jaji unaiogopa ccm au ni woga?
ccm wanatarajia kumchagua mwenyekiti wa chama ambapo pamoja na mambo mengine lazima wazungumze siasa
je kwann polisi wasipewe amri kuzuia mpska hspo amri ya kufsnya siasa itakapotolewa tena
Amani ni tunda la haki.
mh msajili u are not doing enough!
.