Lord Denning
JF-Expert Member
- Jun 3, 2015
- 23,494
- 57,869
Chadema wana akili sana.Cdm wasiache washikilie hapo hapo No reforms na election. Lazima vibaraka wa ccm wote wajitokeze.
Atapigwa na huyo msajili wake watadharauliwa hadi na vizazi vyao vya nne.Tundu Lissu kama Namuona vile... Ndiyo michezo yake kucheza na vifungu... Mchome ataambulia umaarufuu tu..
Hivi huyu mla rushwa Mutungi kwa nini hajastaafu? Umri wake ni zaidi ya 65. Tunaomjua tangu ujana wake, ni aibu kwa taifa kuwa na mtu kama yule kwenye ofisi kubwa ya ummaOfisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa imetoa muda wa wiki moja kwa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kiwe kimewasilisha maelezo kuhusu malalamiko ya mjumbe wa Baraza Kuu wa chama hicho, Lembrus Mchome.
View attachment 3281915
Mchome aliwasilisha malalamiko kwa msajili wa vyama akilalamikia kikao cha Baraza Kuu Taifa kilichofanyika Januari 22, 2025 kwamba kilikuwa batili kwa sababu hakikutimiza masharti ya Katiba ili kuwa kikao halali.
Soma, Pia: Team Mbowe wajidhatiti kumkwamisha LISSU, wapinga uteuzi wa Wajumbe watano wa kamati kuu aloufanya Lissu, waandika Barua kwa msajili wa Vyama
Pia, Mchome alidai kikao hicho ndani ya ukumbi walikuwepo wanachama ambao siyo wajumbe na baadhi ya watu hao walipiga kura kinyume na matakwa ya katiba ya chama hicho.
View attachment 3281919
Barua iliyosainiwa na Naibu Msajili wa Vyama vya Siasa nchini, Sisty Nyahoza imekitaka Chadema kujibu barua ya Mchome kwa muda usiozidi Machi 31, 2025.
Soma:
Chanzo: Mwananchi
Ajaribu aone moto wake. Hii nchi imeiva kwa mapinduzi ya kijeshi it's just a matter of time.Mara paap! CDM imefutiwa usajili!
Anavuta bangi tangu akiwa msajili pale Mahakama Kuu,ni fedheha kuwa na mtu wa aina yake kwenye ofisi ya Serikali.Hivi huyu mla rushwa Mutungi kwa nini hajastaafu? Umri wake ni zaidi ya 65. Tunaomjua tangu ujana wake, ni aibu kwa taifa kuwa na mtu kama yule kwenye ofisi kubwa ya umma
Huyo anafukuzwa kataika ngazi ya tawi tuKikao kikae mchome afukuzwe uanachama.
Huyu mpumbavu Mchome haijui vizuri CCM, wanamtumia kuleta mgogoro ndani ya Chadema halafu wanamtumia wasiojulikana kumuua kisha waisingizie Chadema. Kama kuna ndugu yake Mchome humu wamuonye anatumiwa kama chambo auwawe halafu waseme Chadema imemuua. CCM ni Chama Cha Mashetani.Huyo mchome anataka nini, kama vipi achomolewe anaturudisha nyuma
Wakimfukuza anaenda mahakamani analazimishwa na kuwa mwanachama wa mahakama. Au uchaguzi wao unatenguliwa kama Lipumba na CUF bandia.Kikao kikae mchome afukuzwe uanachama.
Mkuu, umesahau Maua yako njoo uyachukue ππππππCdm wasiache washikilie hapo hapo No reforms na election. Lazima vibaraka wa ccm wote wajitokeze.
Ndugu zake waandae matanga tu huyu lazima ataliwa kichwa na kikosi kazi cha Mafwele.Huyu mpumbavu Mchome haijui vizuri CCM, wanamtumia kuleta mgogoro ndani ya Chadema halafu wanamtumia wasiojulikana kumuua kisha waisingizie Chadema. Kama kuna ndugu yake Mchome humu wamuonye anatumiwa kama chambo auwawe halafu waseme Chadema imemuua. CCM ni Chama Cha Mashetani.
Huyu mchome anajichanganya. Hivi uteuzi wa katibu mkuu wa chama ni uchaguzi? Halafu anaokoteza taarifa. Wenzao Wana list ya waliohudhuria kimaandishi, yeye anaangalia suraTundu Lissu kama Namuona vile... Ndiyo michezo yake kucheza na vifungu... Mchome ataambulia umaarufuu tu..
Hakuna lolote hapo ni kampeni yano reforms no election tu.Kinacholalamikiwa kuwa itafaki haikutimia kwa wajumbe kutimia? Sasa ikitokea kukubalika kuwa itifaki haikutimia na uteuzi ufanyike tema, m/kiti hawezi kuwachaguwa watu walewale aliowachagua kabla? Na kama inawezekana kwanini tunalumbana na mambo ya kijinga?
Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa imetoa muda wa wiki moja kwa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kiwe kimewasilisha maelezo kuhusu malalamiko ya mjumbe wa Baraza Kuu wa chama hicho, Lembrus Mchome.
View attachment 3281915
Mchome aliwasilisha malalamiko kwa msajili wa vyama akilalamikia kikao cha Baraza Kuu Taifa kilichofanyika Januari 22, 2025 kwamba kilikuwa batili kwa sababu hakikutimiza masharti ya Katiba ili kuwa kikao halali.
Soma, Pia: Team Mbowe wajidhatiti kumkwamisha LISSU, wapinga uteuzi wa Wajumbe watano wa kamati kuu aloufanya Lissu, waandika Barua kwa msajili wa Vyama
Pia, Mchome alidai kikao hicho ndani ya ukumbi walikuwepo wanachama ambao siyo wajumbe na baadhi ya watu hao walipiga kura kinyume na matakwa ya katiba ya chama hicho.
View attachment 3281919
Barua iliyosainiwa na Naibu Msajili wa Vyama vya Siasa nchini, Sisty Nyahoza imekitaka Chadema kujibu barua ya Mchome kwa muda usiozidi Machi 31, 2025.
Soma:
Chanzo: Mwananchi