Msajili awaita Lipumba na Seif

jingalao: Viongozi wa CUF wapo wengi. Ni akina nani hasa wanahitajika? Maana tunajua kuwa msajili anawatambua hata kiongozi feki kama vile Lipumba, Sakaya, Kambaya, n.k. Pia kuna viongozi wa ngazi na jumuiya mbalimbali za CUF. Awe 'specific'. Kama akienda Lipumba au washirikina wenzake viongozi wa CUF halisi wamkatalie Mutungi maana muda wote Mutungi yuko tungi.
 

Upande wako ni Lipumba bila shaka.
 
Japo ni jinai, wahusika wakikubaliana kupatana nje ya mahakama, ni jambo la busara. Tuwaachie waamue.


Inaonekana hata hujui jinai ni nini...Jinai anayeshitaki ni jamhuri...hainaga msamaha wa wahusika ...mambo ya kusameheana yako applicable kwa civil cases
 
Nitamshangaa Seif akihudhuria mkutano huo.

CUF ya Maalim Sefu ni kama haitambuliwi na serikali kupitia msajili.

Msajili ni wakala wa CCM kwa kumtumia Lipumba.
 
Waitwe kwa nia ya kufanya Suluhu isiopendelea upande wowote ,ila ushauri wangu Uungwana na utu uzima ni dawa wanasiasa epukeni kuwa vigeugeu ukitangaza nimeacha hili au nimejihudhuru kwa Nafasi fulani iwe inatokana na uungwana wa rohoni vyama vya upinzani Tanzania baadhi ya Viongozi msiwe vigeugeu mtatuharibia Nchi yetu na maslahi yenu binafsi
 
Kwa nini asimwite Lipumba na Sakaya. Si ndio anaowatambua Mwenyekiti na katibu mkuu respectively. Sasa Maalim Seif atakwenda kama nani na hamtambui.
 
Mpaka saa hizi tupeni mrejesho,mkutano umeendaje? Credibility ya mtu-Msajili- itakuwaje? Hata Mage hakwenda?
 
naona maalim seif kasepa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…