Kuna Gazeti la leo linaripoti kuwa ofisi ya msajili wa vyama imewaita viongozi wa CUF ili kujadili kuhusu vurugu zilizojitojeza hapo majuzi.
Viongozi hao wametakiwa kufika kwa msajili tarehe 28/4/17.
My Take:
Asiyehudhuria wito huu wa msajili afungiwe kufanya siasa.
Mbona unamawazo wa ki TFF, kifungu kipi kitumike kmfungia mtu hasifanye siasa?Kuna Gazeti la leo linaripoti kuwa ofisi ya msajili wa vyama imewaita viongozi wa CUF ili kujadili kuhusu vurugu zilizojitojeza hapo majuzi.
Viongozi hao wametakiwa kufika kwa msajili tarehe 28/4/17.
My Take:
Asiyehudhuria wito huu wa msajili afungiwe kufanya siasa.
Kwanini msajili asimwite makufuli,na mama simba?Kuna Gazeti la leo linaripoti kuwa ofisi ya msajili wa vyama imewaita viongozi wa CUF ili kujadili kuhusu vurugu zilizojitojeza hapo majuzi.
Viongozi hao wametakiwa kufika kwa msajili tarehe 28/4/17.
My Take:
Asiyehudhuria wito huu wa msajili afungiwe kufanya siasa.
Halafu pia Mtungi na ofisi yake wanakosa Mora authority ya kusimama katikati ya wanao hasimiana, ofisi ya Mtungi ilisha chaguwa upande wa lipumba. Niunge mwelewa kama Ange waita kipindi kile kabla ya kufuta majina ya akina mtatiro kwenye website yake. Kwa kifupi yeye ndo mgogoro wenyewe.Seif asiende,huwezi kwenda kukutanishwa na kusuluhishwa na mtu ambaye si mwanachama wa CUF,alishafukuzwa
Na kwenye hili CUF wasipoteze focus,lengo la lipumba na msajiri ni kusema na kuaminisha jamii kwamba CUF ina mgogoro,Sasa kuna msemo wa CUF lipumba na CUF Maalim,CUF waepuke kuita CUF Lipumba,lipumba si mwana CUF kwa kuwa alishafukuzwa,
Maalim akienda kwa Msajili wa Vyama atakuwa kafanya kosa kubwa la kiufundi,CUF waachane na Lipumba,wajenge Chama chao,anachotafuta Lipumba ni kuonekana kafanikiwa kwa waliomtuma,atatafuta mazingira ya kubishana na CUF,ili jioni awaulize waliomtuma kama wamesikia alichofanya,Lipumba awe isolated,anachotafuta ni kiki ili aendelee kukaa kwenye Payroll ya waliomtuma
Sidhani kama mzee wa kuzira atatokeza!Kuna Gazeti la leo linaripoti kuwa ofisi ya msajili wa vyama imewaita viongozi wa CUF ili kujadili kuhusu vurugu zilizojitojeza hapo majuzi.
Viongozi hao wametakiwa kufika kwa msajili tarehe 28/4/17.
My Take:
Asiyehudhuria wito huu wa msajili afungiwe kufanya siasa.
Lipumba si mwanachama wa CUF ,Kuna Gazeti la leo linaripoti kuwa ofisi ya msajili wa vyama imewaita viongozi wa CUF ili kujadili kuhusu vurugu zilizojitojeza hapo majuzi.
Viongozi hao wametakiwa kufika kwa msajili tarehe 28/4/17.
My Take:
Asiyehudhuria wito huu wa msajili afungiwe kufanya siasa.