MBEBA MAONO KAJA
JF-Expert Member
- Dec 24, 2013
- 365
- 195
Mungu baada ya kumuumba Adamu na kumpa majukumu ya kufanya na kumpa misingi ya kufanya nini afanye na nini asifanye! Haya majukumu na maelekezo alipewa Adam kabla ya kuumbiwa Eva wake.
Mwz2:7-17
Hapa tunajifunza kwamba Adamu alikabidhiwa majukumu yote ya kuitunza eden na kanuni za kuishi.Mara baada ya Adam kupewa hayo majukum Mungu akaona siovema awe peke yake ndipo akaamua amfanyia msaidizi wakufanana nae Mwa2:18-22
Hapa tunaanza kuona kusudi la Ndoa kumbe mke aliumbwa ili kufanikisha kile alichopewa Adam kufanya.
Hata leo ndoa ina kusudi la kutimiza kusudi la Mwanadamu kuwepo duniani.
Mwz3:18 tunaona Mungu akisema mtu wa kufanana nae!Kumbe yupo ambae anaweza kuwa mke lkn sio wakufanana nae. Lazma mke awe wakufanana na mme.
Kufanana hapa sio surapekee japokuwa kweli wanandoa wengi wanafanana hadi sura. Hii huwa inatokea tu ukiniuliza kwanini nitajibu Mwz2:18.
Kufanana hapa ni Yeremia1:5 kabla haujazaliwa Mungu aliweka kusudi kwako.Mke anatakiwa aje kusaidia kutimiza hicho alicho umbiwa huyo Adam.
Kama alipewa kusudi la kueneza injili basi mke awe na mzigo wa kueneza injil huko ndio kufanana, kama ni kilimo basi afanane na hilo kusudi.
Mwana mme anapassword za kumfanya afunguke na kutumika vizuri kwa Bwana akija Mwanamke ambae ni wrong password tegemea kufa kwa kusudi aliloumbiwa huyo Adam.
Na kila mwanamke amepewa uwezo wa kufanikisha kusudi la Adam mmoja. Akienda kwa Adam asiefanana nae nae atakuwa nje ya kile alichoumbiwa.
Meli haiwezi kutemvea nchi kavu na pikipiki haiwezi kutembea baharin haziwe za thamani kiasigani?
SIKILIZA KWA MAKINI SAUTI YA MUNGU UNAPOKUWA KTK MAIMBI YA KUPATA MKE AU MME
Shetani nae anajua akikupa mtu asiefanana nawew ndio mwisho wa maono yako.Mke au mme ni njia ya kukufikisha kwenye kusudi uliloumbiwa.