Msaidizi wa banda la mgahawa anahitajika

Msaidizi wa banda la mgahawa anahitajika

Karot

JF-Expert Member
Joined
Mar 6, 2017
Posts
1,159
Reaction score
1,316
Habari za mihangaiko,

Rudia kichwa cha habari hapo juu. Anahitajika msaidizi wa kike ambae sharti awe anaishi Kigamboni. Eneo la biashara ni Mikinda kwa Wapemba na Wamakonde. Maelezo zaidi inbox.
 
Back
Top Bottom