nyumba kubwa
JF-Expert Member
- Oct 8, 2010
- 10,309
- 8,398
Huyu mke wako anasaikological problem,hii inatokana pale mtu unapofanyiwa kitu ambacho hukua unakitaka au hukutegemea kingetokea na mara nyingi kitu chenyewe ni kibaya. Hebu jaribu kufikiria mke wako hajawahi kukufumania au kukuta na mwanamke mwingine katika mazingira ya utata?
Au kuhisi? Ningeweza kusema hakupendi lakini umesema mwanzoni mambo yalikua fresh lakini akaja badilika,Kwa upande wa pili wa shilingi inawezekana akawa amepata mwanaume mwingine ambaye ndio chaguo lake na ndiye anayempenda na anamtosheleza kwa kila kitu, au mpenzi wa zamani ambaye labda walihaidiana kuoana na labda huyo mwanaume alikua nje labda masomoni akarudi akakuta wewe umeshambeba mchumba wake kama mwewe.
Kwa vyovyote mwanamke huyo akimkumbuka huyo mme wake wa zamani especially kama amekutana nae na kama alikua anampenda sana lazima akose hamu na wewe kabisa na mara nyingi kwa wanawake huzuni, simanzi na masikitiko yakizidi machozi yanatiririka hiyo kuna. factors nyingi zinazoweza kumfanya mwanamke awe hivyo.
Na dawa yake labda ni kuhama mkoa ili akae mbali na huyo mtu anayempenda kuliko wewe ambayo sio rahisi kuhama manake sometime utakuta umeshajiimarisha mkoa fulani kiuchumi au kikazi au kibiashara kwa kweli ni mazingira magumu.
Pole sana
Pole ni tatizo la kisaikolojia,mm nakushauri umpeleke kwa Psychologist.Pili jitahidi uwe unamuandaa kuanzia kwenye misosi na hata kumpuzisha kazi na kumtoa out siku ya mechi.
nimewahi kusikia mabinti kama wawili kuwa ukifunga uzazi kwa njia ya kijiti huwa hawasikii hamu wala raha ktk tendo husika, Ningependa wamama wa humu waliotumia hii njia waeleze kama lina ukweli.
Huyu mke wako anasaikological problem,hii inatokana pale mtu unapofanyiwa kitu ambacho hukua unakitaka au hukutegemea kingetokea na mara nyingi kitu chenyewe ni kibaya. Hebu jaribu kufikiria mke wako hajawahi kukufumania au kukuta na mwanamke mwingine katika mazingira ya utata?
Au kuhisi? Ningeweza kusema hakupendi lakini umesema mwanzoni mambo yalikua fresh lakini akaja badilika,Kwa upande wa pili wa shilingi inawezekana akawa amepata mwanaume mwingine ambaye ndio chaguo lake na ndiye anayempenda na anamtosheleza kwa kila kitu, au mpenzi wa zamani ambaye labda walihaidiana kuoana na labda huyo mwanaume alikua nje labda masomoni akarudi akakuta wewe umeshambeba mchumba wake kama mwewe.
Kwa vyovyote mwanamke huyo akimkumbuka huyo mme wake wa zamani especially kama amekutana nae na kama alikua anampenda sana lazima akose hamu na wewe kabisa na mara nyingi kwa wanawake huzuni, simanzi na masikitiko yakizidi machozi yanatiririka hiyo kuna. factors nyingi zinazoweza kumfanya mwanamke awe hivyo.
Na dawa yake labda ni kuhama mkoa ili akae mbali na huyo mtu anayempenda kuliko wewe ambayo sio rahisi kuhama manake sometime utakuta umeshajiimarisha mkoa fulani kiuchumi au kikazi au kibiashara kwa kweli ni mazingira magumu.
Pole sana
Ana umri gani?Mara nyingi wanawake huwa hawafiki kileleni kutokana sababu zifuatazo;
1. ......alianza sex kabla ya ndoa huku akiwa na dhana kichwani kuwa afanyacho ni dhambi........hivyo hufanya huku akiwaza kuwa anatenda dhambi na ni vigumu kufika kileleni.
2. Umri...kuna umri ambao wasichana huwa wanasex tu bila kujua nini wanafanya ili tu kuwaridhisha wapenzi wao........
3. Mazoea....hayo mazoea ya no.2 huendelea hata wanapoanza kujua kumbe kuna kufika kileleni kwa kusikia kwa wasichana wenzao,hushindwa kujadili na wapenzi wao (labda aibu au mwanaume hayuko friendly na haongelei jambo hilo mradi yeye kafika) hivyo kuishia kucheat orgasm.......
4. Pengine aliwahi kufanyiwa vitu vibaya kama kubakwa utotoni au something like that......hivyo kumbukumbu zinamrudia
5. Au x-bf wake alikuwa anamfanyia rough sex na hamjali kama kafika au la........naye akajenga mazoea au the way you do it....it remind her of him.
6. Labda kuna mambo unamkosea yeye anaweka moyoni pengine anaogopa kukuuliza,au anakwambia kasamehe kumbe bado anayo moyoni....na anaingia nayo kitandani.
7. Pengine hana hisia na wewe labda hakukupenda,au kuna kinachomkera kama harufu ya jasho lako n.k
Suluhisho
1. Tafuta outing mwende sehemu iliyotulia kabisa ambayo haitakuwa na interraction yoyote......hakikisheni nyumbani mmeacha salama na hawatawasumbua huko mliko......ili mawazo yasiwe yarudi hme
2. Kuwa mpole,mkarimu,mpe treatment unazojua anazipenda,ale apendacho...ila asishibe saana...usiache kumpa sifa kemkem(kumjenga ajiamini)
3. Muwe fresh ie.wasafi angle zote...tena mnaonukia manukato mpendayo
4. Vaa apendavyo uvae mkiwa wawili.......ongeleeni mambo positive tu......tena ya kimapenzi....."mengine najua wajua"
NB:USIMWAMBIE UNAMTOA ILI UKAMFANYE AFIKE KILELENI.........asijue lengo ni nini vinginevyo hutafanikiwa.
Kweli kabisa wanawake wengi waliokuwa cheated wanapata tabu sana kuenjoy sex unless wale wanaoweza kuji condition kuwa they are doing it kujipa raha wenyewe. Mimi naona ni suala la kisaikolojia zaidi Maana unasema anastop on the way meaning kuna kinachomfanya agaili kufika. Jiulize kama umeshawahi kumcheat au hata kama hujawahi kumcheat inawezekana yeye anakuhisi vibaya tokana na mienendo yako. You need to talk. Nimeshatembeea blogu nyingi watu wengi waliokuwa cheated wanalalamika kuwa feelings kwa wame zao zimekwisha kabisaaa; sasa watu kama hao usitegemee utawafikisha hata ufanyeje.
Wababa msidhani kuwa mapenzi ya wake zenu yako guaranteed as long as they are still married to you. Mkichezea feelings zao hayo ni moja ya matokeo.
This may go both ways. Mwanamke anayetoka nje sidhani kama anaweza kufikishwa na mumewe kwani sisi wanawake tuna uwezo wa kumpenda mtu mmoja tu at a time hata hao mnaoona wanawapanga foleni jueni fika kuwa either both of you ni mnatumiwa au kuna mmoja ambaye ni chaguo. Sasa mwanamke akiwa na affair nje inaweza mfanya awe analia kama hivyo amekuwa mtumwa wa kidumu huku ana guilt consciousness.
Wewe unajijua kama unamwenendo mbaya au la. Kama unaona uko okay mchunguze wife.
kama alikuwa anafika kileleni mwanzo then hilo sio tatizo la kimaumbile...tunarule out kutahiriwa........
what i think amekuchoka slightly peaneni space,safiri kidogo siku ukirudi utaweza kuyaignite mapenzi yenu tena....
au badilisheni venue kidogo nendeni sehemu kama hotelini,nje ya mji.....
kuwa msikivu zaidi,sie wanawake tunapenda mtu anayeonyesha anatujali/kuwa na huruma na sisi/kutusikiliza hivyo jaribu kuwa naye zaidi kwa mambo mengine asijione anatumika/anahitajika tu kny tendo la ndoa tu(sex machine)....anza sasa kumsaidia kazi za nyumbani etc aone unavyomjali lastly ongea naye she is your wife afunguke kama ana worries kuhusu wewe au future yenu pamoja

Hilo tatizo sio la mkeo peke yako... wanawake majority wana hilo taizo la kushindwa

kufika kileleni.... tatizo tu tokana na maelezo yako naona kua wewe unataka saana

mkeo afike kileleni kuliko hata yeye mwenyewe... Mara nyingi kufika kileleni kwa mwanamke

iko more psychological kuliko hata utundu wa mwanaume... Hio ni moja ya dalili kua mkeo

anafanya ilo tendo kama wajibu, lakini sio kwamba anapenda... For yule mwanamke anaependa

atajaribu hata kwa vitendo kukuonesha ni namna gani ufanye/umchezee/umguse ili afike...

Na hili tatizo the best way kulitatua ni kuongea nae yeye mwenyewe...

Antena au dish anayo ya kukamata hadi basra? Au ana ki sonnet tu? Maana haya mambo mnaweza mshauri weeeee kumbe hana kile kitu,

Embu nikalale mie kikojozi
wewe huwa unajuaje hafiki?Great thinkers.
Najua kuna watu hawajali matatizo ya wenzao au hata kufika hatua ya kutoa maneno au kauli mbaya zisizo na tija nawaomba katika hili mnisaidie ndugu zangu.
Mke wangu ana tatizo la kutofika kileleni, tunaweza kufanya nikamuandaa muda mrefu na hata wakati wa kufanya nikafanya jitihada na utundu wote, nikaenda hata mishindo mitatu au minne lakini yeye hafiki kileleni.
Huwa anasikia ile raha ya kukaribia kufika lakini ghafla hupotea na huishiwa hamu ya kuendelea kufanya kabisa na mara zote huishia kulia tu kwa uchungu. Namuonea huruma sana mke wangu jamani.
Hili tatizo sasa hivi lina karibia miaka 2.
Naombeni msaada.