Great thinkers.
Najua kuna watu hawajali matatizo ya wenzao au hata kufika hatua ya kutoa maneno au kauli mbaya zisizo na tija nawaomba katika hili mnisaidie ndugu zangu.
Mke wangu ana tatizo la kutofika kileleni, tunaweza kufanya nikamuandaa muda mrefu na hata wakati wa kufanya nikafanya jitihada na utundu wote, nikaenda hata mishindo mitatu au minne lakini yeye hafiki kileleni.
Huwa anasikia ile raha ya kukaribia kufika lakini ghafla hupotea na huishiwa hamu ya kuendelea kufanya kabisa na mara zote huishia kulia tu kwa uchungu. Namuonea huruma sana mke wangu jamani.
Hili tatizo sasa hivi lina karibia miaka 2.
Naombeni msaada.
Ana umri gani?Mara nyingi wanawake huwa hawafiki kileleni kutokana sababu zifuatazo;
1. ......alianza sex kabla ya ndoa huku akiwa na dhana kichwani kuwa afanyacho ni dhambi........hivyo hufanya huku akiwaza kuwa anatenda dhambi na ni vigumu kufika kileleni.
2. Umri...kuna umri ambao wasichana huwa wanasex tu bila kujua nini wanafanya ili tu kuwaridhisha wapenzi wao........
3. Mazoea....hayo mazoea ya no.2 huendelea hata wanapoanza kujua kumbe kuna kufika kileleni kwa kusikia kwa wasichana wenzao,hushindwa kujadili na wapenzi wao (labda aibu au mwanaume hayuko friendly na haongelei jambo hilo mradi yeye kafika) hivyo kuishia kucheat orgasm.......
4. Pengine aliwahi kufanyiwa vitu vibaya kama kubakwa utotoni au something like that......hivyo kumbukumbu zinamrudia
5. Au x-bf wake alikuwa anamfanyia rough sex na hamjali kama kafika au la........naye akajenga mazoea au the way you do it....it remind her of him.
6. Labda kuna mambo unamkosea yeye anaweka moyoni pengine anaogopa kukuuliza,au anakwambia kasamehe kumbe bado anayo moyoni....na anaingia nayo kitandani.
7. Pengine hana hisia na wewe labda hakukupenda,au kuna kinachomkera kama harufu ya jasho lako n.k
Suluhisho
1. Tafuta outing mwende sehemu iliyotulia kabisa ambayo haitakuwa na interraction yoyote......hakikisheni nyumbani mmeacha salama na hawatawasumbua huko mliko......ili mawazo yasiwe yarudi hme
2. Kuwa mpole,mkarimu,mpe treatment unazojua anazipenda,ale apendacho...ila asishibe saana...usiache kumpa sifa kemkem(kumjenga ajiamini)
3. Muwe fresh ie.wasafi angle zote...tena mnaonukia manukato mpendayo
4. Vaa apendavyo uvae mkiwa wawili.......ongeleeni mambo positive tu......tena ya kimapenzi....."
mengine najua wajua"
NB:USIMWAMBIE UNAMTOA ILI UKAMFANYE AFIKE KILELENI.........asijue lengo ni nini vinginevyo hutafanikiwa.