Msaidieni huyu jamaa.... anaumwa

chini ya ******.sijaficha neno MODS WA JF NI WAKALI hawataki maneno machafu .***nyota ni=CHINI YA MAKALIO,[yale ya kina dada tunayoyapenda,yaliyojazia kwa nyuma.],ULISEMA ALIANZA KUKOHOA TANGU MWEZI WA PILI SIO?KIKOHOZI CHENYE MNGURUMO NA MATATIZO YA KUPUMUA ,KINAWEKWA KATIKA KUNDI LA HALI MBAYA[SEVERE][KIJAMII INAYOMZUNGUKA,NA KIAFYA PIA],TOKA MWEZI WA PILI MPAKA SASA NI MUDA MREFU,.HIVYO KINGA IKO CHINI,NA ILIKUWA CHINI NDIYO MAANA AKAPATA HICHO KIKOHOZ AMBACHO HAKIJAPONA I,NA MENGINEYO.NJIA YA KUJAMIIANA PIA HULETA MAAMBUKIZI YA WADUDU HAWA,USAFI NI MUHIMU PIA,KWANI UCHAFU UNACHANGIA KAMA NJIA YA MAAMBUKIZI KWA MUAMBUKIZAJI.
 
Inaweza kuwa egzma ila mshauri aende hosp

KWELI DADA KAMA ATAENDELEA KUJIKUNA HIVYO NA HATIMAYE,NGOZI KUCHANIKA NA KUWA WAZI KUTASABABISHA VIPELE AMBAVYO VITAUNGANA NA BACTERIA NA HIVYO KUANAZA KUTOA USAA,HALI HIYO ITAKUWA NA HAKI YA KUITWA ECZEMA,ITAMNYIMA RAHA NA KUMPUNGUZIA QUALITY OF LIFE MAANA ATANYANYAPALIWA. ECZEMA YAKEITAKUWA IMESABABISHWA NA MIKUNO,MAANA MPAKA SASA AMESEMA NGOZI HAINA MAJERAHA YA ZIADA. INGAWA ECZEMA NDIO HIYO HOYO DERMATITIS, HIYO NI LIGI ISIO NA MWISHO KWENYE KUTOFAUTISHA Definition ya hayo mawili,.lakini fainali ni tiba.Aende hospitali, watajua tatizo lake ni nini.
 
ushauri wangu ni kuonana na Bwana Yesu tu, usijari kubezwa kwake
wapo waliokuwa na matatizo makubwa kuliko hayo, lakini baada ya kuonana naye tu
kila gonjwa linatafuta njia yake, hakuna gharama, wala masharti, kwake hakuna lisilowezekana,
habagui kabira, rangi, kimo wala hata kama uko nyumbani kwako anakuja,

......amani ya MUNGU iamue moyoni mwako.......
kuwa makini na mawakala wa shetani ambao huwa mara wapo kwa ajiri ya kukatisha tamaa
lakini uzima ni wako amua sasa
 
chini ya ******.sijaficha neno MODS WA JF NI WAKALI hawataki maneno machafu .***nyota ni=CHINI YA MAKALIO,[yale ya kina dada tunayoyapenda,yaliyojazia kwa nyuma.],ULISEMA ALIANZA KUKOHOA TANGU MWEZI WA PILI SIO?KIKOHOZI CHENYE MNGURUMO NA MATATIZO YA KUPUMUA ,KINAWEKWA KATIKA KUNDI LA HALI MBAYA[SEVERE][KIJAMII INAYOMZUNGUKA,NA KIAFYA PIA],TOKA MWEZI WA PILI MPAKA SASA NI MUDA MREFU,.HIVYO KINGA IKO CHINI,NA ILIKUWA CHINI NDIYO MAANA AKAPATA HICHO KIKOHOZ AMBACHO HAKIJAPONA I,NA MENGINEYO.NJIA YA KUJAMIIANA PIA HULETA MAAMBUKIZI YA WADUDU HAWA,USAFI NI MUHIMU PIA,KWANI UCHAFU UNACHANGIA KAMA NJIA YA MAAMBUKIZI KWA MUAMBUKIZAJI.

nimekupata....
:becky:
 
huyu ni dr wa kifua au ngozi, anapatikana kitengo gani pale Muhimbili?

Ni daktari bingwa wa magonjwa ya ngozi ukifika muhimbili mapokezi waambie nataka kuonana na dr massawe
muhimbili ya kulipia sio ile ya bure
 
Back
Top Bottom