msaidien huyu hakimu kuamua hii kesi

msaidien huyu hakimu kuamua hii kesi

Joined
Mar 2, 2013
Posts
37
Reaction score
5
Wanandoa waliachana wakiwa na mtoto mmoja,sasa kila mmoja anadai yeye ndiye anastahili kumtunza na kuish na mtoto mzozo ukawa mkubwa wakaamua kwenda mahakamani,kila mmoja akaanza kujitetea mbele ya hakimu.=>baba:asante sana hakimu mimi ndiye nastahili kumtunza na kuish na huyu mtoto,kwamfano hakimu umeenda ATM kuchukua pesa si unaingiza card na pesa zikitoka zinakua zako na sio za benki =>mama:asante hakimu na mimi nikupe mfano,wewe una shamba lako alafu mtu anapita akamwaga mbegu ya mti,ule mti ukakua utakuwa ni wa aliyemwaga mbegu au mwenye shamba...sasa msaidien huyu hakimu maana kesi imeahirishwa mpaka mwakani.
 
Duh, very fun mkuu bt hapa tusubiri tuu hakim hapo mwakani
 
Wasiachane kwanza ampe kingine cha mtt wa pili then wawe sawa

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Hii kesi dawa ni kuipiga kalenda tu mwishowe wataahirisha mpango wao wa kuachana
Sent from ama kweli dunia kizungu zungu
 
Kifo ndo kiwatenganishe jamani mmesahau mlivyoapa ahhaha

Sent from my BlackBerry 9360 using JamiiForums
 
Back
Top Bottom