Msahada wakuu ndoto Tata

Msahada wakuu ndoto Tata

Ni athari za lugha ya mama (Kikurya/Kihaya/Kikerewe) katika lugha ya pili (Kiswahili). Hata mtu asome namna gani inakuwa shida kweli kuepukana na makosa hayo" r na l zinachanganywa na irabu zinawekwa zisipotakiwa na kuondolewa zinapotakiwa..

Kunilaumu inakuwa kunirahumu...n.k
Salute sana homeboy
 
Agh ndo matokeo hadi barua za kuomba kazi wanaandika hivi.halafu mnailaumu serikali maisha magumu

Back
Top Bottom