Msahada kuhusu huawei smartAX

Msahada kuhusu huawei smartAX

feelsam

Member
Joined
Jan 13, 2017
Posts
92
Reaction score
36
Sikielewi kama ki wifi au nini nime chomeka kwenye kompyuta kina andika ethernet anaye fahamu naomba anijuze
 
nimekigoogle hapa kinatumika kwenye FTTB, wanaita fiber to the building au fiber to the basement, yaani waya za internet za fiber zinakuja hadi kwenye nyumba then inadumbukia kwenye hicho kidude halafu toka kwenye hicho kidude ndio internet inakuwa supplied kwenye jengo. toka kwenye hicho kidude sio lazima iwe tena ni fiber inatoka kama copper tu (waya za kawaida)
 
Back
Top Bottom