D Metakelfin JF-Expert Member Mar 23, 2017 3,160 3,259 Jun 7, 2017 #1 leo nimeenda kusaga mahindii nikamuita we msagajii nashangaaa niko nyumbn majirani wanaulizan yule jamaaa ndo anaroho mbaya iviiii cjuii kuna nn kinaendelea mie nimelal zangu ndani cwez ata kunyanyuka
leo nimeenda kusaga mahindii nikamuita we msagajii nashangaaa niko nyumbn majirani wanaulizan yule jamaaa ndo anaroho mbaya iviiii cjuii kuna nn kinaendelea mie nimelal zangu ndani cwez ata kunyanyuka
Joseverest JF-Expert Member Sep 25, 2013 51,991 69,387 Jun 8, 2017 #2 Umechezea kichapo mkuu..pole sana..Hahaha siku nyingine usirudie
Galapagosi JF-Expert Member Apr 21, 2017 2,849 2,628 Jun 8, 2017 #4 Mda unavyozidi kwenda jaza ujazwe linakuwa neno la kawaida.
Ushimen JF-Expert Member Oct 24, 2012 37,217 85,349 Jun 8, 2017 #5 Kweli akili za usiku ni janga la taifa
unque bin unuq JF-Expert Member Apr 20, 2017 350 456 Jun 8, 2017 #8 Itakuwa kagoma kukusagia, [HASHTAG]#ana[/HASHTAG] roho mbaya
lydiah Senior Member Sep 2, 2015 151 101 Jun 9, 2017 #12 Itakua alikuja kukusagia nyumban ili usipate shida kulud na unga
Mangungo II JF-Expert Member Jul 6, 2012 18,022 26,351 Jun 12, 2017 #13 Hahahahah maisha yanaenda kasi sana eti msagajj tu