MNYAMAKAZI JF-Expert Member Joined Oct 7, 2014 Posts 2,118 Reaction score 2,199 Apr 13, 2016 #21 Slim5 said: kuna shabiki wa yanga anayo kama hii, kaipaka rangi za chama! Click to expand... Naiona sana maeneo ya banana hiyo bito
Slim5 said: kuna shabiki wa yanga anayo kama hii, kaipaka rangi za chama! Click to expand... Naiona sana maeneo ya banana hiyo bito
SHIEKA JF-Expert Member Joined Dec 20, 2011 Posts 8,240 Reaction score 4,280 Apr 13, 2016 #22 Amavubi said: Huu ni Msafara wa Rais wa Uruguay:Jose Alberto". Kipindi hicho akiwa rais.Alikabidhi urais wa uruguay kwa bwana Tabarez Vasquez kwenye uchaguzi ulofanyika 2014. View attachment 337325 Click to expand...
Amavubi said: Huu ni Msafara wa Rais wa Uruguay:Jose Alberto". Kipindi hicho akiwa rais.Alikabidhi urais wa uruguay kwa bwana Tabarez Vasquez kwenye uchaguzi ulofanyika 2014. View attachment 337325 Click to expand...
Dotworld JF-Expert Member Joined Aug 10, 2011 Posts 4,035 Reaction score 3,784 Apr 13, 2016 #23 Katavi said: Yap ni mfano wa kuigwa maana ukisoma historia ya maisha yake kabla, wakati na baada ya kuwa rais aliishi maisha ya kawaida kabisa. Click to expand...
Katavi said: Yap ni mfano wa kuigwa maana ukisoma historia ya maisha yake kabla, wakati na baada ya kuwa rais aliishi maisha ya kawaida kabisa. Click to expand...
Dotworld JF-Expert Member Joined Aug 10, 2011 Posts 4,035 Reaction score 3,784 Apr 13, 2016 #24 Rais akiwa na First Lady wake
Dream Queen JF-Expert Member Joined Nov 4, 2015 Posts 8,261 Reaction score 18,267 Apr 13, 2016 #25 Anataka tu akishafariki, Dunia imkumbuke, Wazungu utawaweza kwa kupenda kuweka record.
Dotworld JF-Expert Member Joined Aug 10, 2011 Posts 4,035 Reaction score 3,784 Apr 13, 2016 #26 Alihalalisha bangi nchini kwake
Totos Boss JF-Expert Member Joined Dec 30, 2012 Posts 5,454 Reaction score 1,569 Apr 13, 2016 #27 Akisafiri mbali inakuaje?
sajumo JF-Expert Member Joined Nov 20, 2013 Posts 1,834 Reaction score 1,059 Apr 14, 2016 #28 sasa naamini wan uhalali wa kuhalalisha bange kisheria