Msafara wa Rais

kuna shabiki wa yanga anayo kama hii, kaipaka rangi za chama!
 
Yap ni mfano wa kuigwa maana ukisoma historia ya maisha yake kabla, wakati na baada ya kuwa rais aliishi maisha ya kawaida kabisa.
Hakuna Rais wa kiafrika anayeweza kuiga maisha ya huyo ndugu. Hapa kwetu tu kwenyewe Rais anatupiga fiksi za kubana matumizi wakati yeye akiendelea na matanuzi.
 
Hakuna Rais wa kiafrika anayeweza kuiga maisha ya huyo ndugu. Hapa kwetu tu kwenyewe Rais anatupiga fiksi za kubana matumizi wakati yeye akiendelea na matanuzi.
huku wanajua tu matanuzi.
 
Raisi akiwa maskini na wananchi wake watakuwa maskini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…