Songambele
JF-Expert Member
- Nov 20, 2007
- 4,718
- 2,594
Nimeona msafara wa Rais akiwa nchini Namibia. Hakuna walinzi wanaoning'inia hakuna watu wenye silaha za kivita.
Hakuna speed za ajabu kuwasha mataa na vingora vya hatari.
Nimeshindwa kuelewa tumeshindwa nini kuyatimiza haya nyumbani?
Ina maana hatuwaamini wanausalama wetu lakini wa Namibia tuna waamini?
Natumaini atakuwa amefungua macho kwa hii safari na atarudi na fikra mpya juu ya gharama za misafara yake.
Maswali ya kujiuliza ukiwa unajenga hoja:
1. Kama hofu ni ndani ya nchi inamaana Tanzania sio sehemu salama kuishi?
2. Kama anamaadui wengi itakuwaje kama asipochaguliwa 2020?
3. Nyerere na Magufuli ni yupi aliyekuwa strict kwa wabadhirifu na mafisadi?
Mi niitegemea hata South Africa atazungukwa vile vile kama hapa nyumbani
Hicho ni kisingizio tu kama wangeamua ni zamani tulisha sahauTanzania, Mh. Ana maadui wengi zaidi unavyofahamu.
Siku akilegeza, ulinzi wake tunaweza mpoteza. Ikumbukwe pia bado watanzania wanamhitaji zaidi ya unavyodhani.
Sita changia mpaka picha na video
Huyu akimaliza miaka Sita iliyobaki, na wewe utakuwa umeisha mpenda. Wakati huo utakuwa unajutia chuki zako za sasa. Jamaa anatubadirisha haraka.Hivi muda wake ukiisha anabaki na walinzi wangapi kama sio watatu!, URais ni Uongozi mbaya sana ukijitengenezea maadui maana kuna maisha ya hofu baada ya kutoka madarakani. Sijui Kama analitambua hili! JK alishamuonya mapema "usijitengenezee maadui maana kuna maisha baada ya kustaafu "
Haki ya Mungu mimi ni socialist kiitikadi na napenda kazi za kutukuka na za kibabe za Rais na kwa kutumia elimu yangu kubwa , nimetembea nchi zaidi ya kumi duniani na umri wangu mkubwa na nikirejea maisha ya watu niliyoshuhudia tangu nikiwa mtoto tukiweka jiwe la foleni duka la ushirika kuchukua unga wa Yanga ( wa njano) na sukari na sabuni hadi leo hii bado nikiwa katika jamii yangu hiyo hiyo , naamini kutoka moyoni Rais anafanya kazi iliyowashinda Marais wote waliopita na anahitaji ulinzi wa Mungu na wa binadamu mara kumi ya alionao sasa kwakuwa anapigana vita ngumu sana mbili zilizowashinda watangulizi wake, Mwl Nyerere anakiri hakuna beberu anaetaka Afrika kuendelea, msikilize video hapo chini!Nimeona msafara wa Rais akiwa nchini Namibia. Hakuna walinzi wanaoning'inia hakuna watu wenye silaha za kivita.
Hakuna speed za ajabu kuwasha mataa na vingora vya hatari.
Nimeshindwa kuelewa tumeshindwa nini kuyatimiza haya nyumbani?
Ina maana hatuwaamini wanausalama wetu lakini wa Namibia tuna waamini?
Natumaini atakuwa amefungua macho kwa hii safari na atarudi na fikra mpya juu ya gharama za misafara yake.
Maswali ya kujiuliza ukiwa unajenga hoja:
1. Kama hofu ni ndani ya nchi inamaana Tanzania sio sehemu salama kuishi?
2. Kama anamaadui wengi itakuwaje kama asipochaguliwa 2020?
3. Nyerere na Magufuli ni yupi aliyekuwa strict kwa wabadhirifu na mafisadi?
View attachment 1110068
Akiwa nyumbani yuko kwenye risk kubwa zaidi kuliko akiwa Namibia,and hence the need for more security,it is as simple as that.Maadui zake huku ni wengi,wengi,wengi sana.
Far from that,he is an enemy of those who are against the well being of Tanzanians;those who pinch and want to pinch the resources of our country.So you want to tell us that he is an enemy of his own people?
Mjitahidi kuchuku nchi tuone Kama atafanya hayo. Mjue Rais Hana uwezo wa kuzuia taratiibu za kumlinda. Sio kazi yakeNimeona msafara wa Rais akiwa nchini Namibia. Hakuna walinzi wanaoning'inia hakuna watu wenye silaha za kivita.
Hakuna speed za ajabu kuwasha mataa na vingora vya hatari.
Nimeshindwa kuelewa tumeshindwa nini kuyatimiza haya nyumbani?
Ina maana hatuwaamini wanausalama wetu lakini wa Namibia tuna waamini?
Natumaini atakuwa amefungua macho kwa hii safari na atarudi na fikra mpya juu ya gharama za misafara yake.
Maswali ya kujiuliza ukiwa unajenga hoja:
1. Kama hofu ni ndani ya nchi inamaana Tanzania sio sehemu salama kuishi?
2. Kama anamaadui wengi itakuwaje kama asipochaguliwa 2020?
3. Nyerere na Magufuli ni yupi aliyekuwa strict kwa wabadhirifu na mafisadi?
View attachment 1110068
Hapa nyie akiwatumbua munakasilika sana, kule hakuna alietumbuliwa,ndio maana bora alindwe sana tz
Itakua bahari ya wapiga kuraSi alisema anawaogopa upinzani wasije kumchinja na kumtupa baharini
Atatumia vifungu vipi vya sheria,hebu tuwekee hapa.Kwanini asiwakamate hao maadui na kuwaweka jela?
YesKila Nchi na utaratibu wake