Elections 2010 Msafara wa rais Kikwete waua Muhutwe (Muleba)

Muda mfupi uliopita, msafara wa Rais Jakaya Kikwete ukielekea Kamachumu umeua mtoto wa shule ya msingi katika maeneo ya Muhutwe - Muleba Kaskazini.

Hii ni habari ya kusikitisha na ninawapa pole wafiwa. Mungu ailaze roho ya marehemu mahali pema peponi Amina.

Mdau: Darlene Kisha

Chanzo: Blog ya Haki Ngowi
Ni ishara mbaya sana kwa ccm. Tutegemee mabaya mengi toka ccm
 
Poleni Wazazi na wote mliopatwa na msiba wa mtoto. Mungu awape faraja. Rip Mtoto!!
 
Back
Top Bottom