Huku ulaya wameshaachana na maswala ya demokrasia, wanatudanganyia sisi tu,Putin mwakani anagombea muhula wa nne wa urais, hiyo ni baada ya kuwa rais kwa awamu mbili, baadaye kuwa waziri mkuu, na kurejea kuwa Rais, tena, Angela Merkel naye muhula wa tatu, malkia anakwenda mwaka wa 64 huu madarakani, wacha sisi tuendelee kupoteza muda na mzigo ambao waanzilishi wenyewe wameshaachana nao.