Kisu Cha Ngariba
JF-Expert Member
- Jun 21, 2016
- 22,130
- 48,862
Mkuu kwani hawalipwi hao madriver au stress za mkubwa!Speed + stress = Ajali
Nani mwenye stress sasa?Speed + stress = Ajali
Chanzo Ni stress mkuuChanzo cha ajali ni kipi?
Sasa huyo ef ef you hayo mabomu yakilipuka si ndo atawaongeza majeraha?Watu 4 wamejeruhiwa katika msafara wa Makamu wa Rais Samia Suluhu Hassan baada ya gari moja kuanguka huko Nanguruwe wakati wakitoka mtwara kuelekea Tandahimba.
View attachment 396808
Majeruhi wamepelekwa katika Hospitali ya Mkoa wa Mtwara, Ligula,
Chanzo: Radio one
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Sasa huyo ef ef you hayo mabomu yakilipuka si ndo atawaongeza majeraha?
Teh Teh Teh Teh na yalipuke tu hakuna namnaSasa huyo ef ef you hayo mabomu yakilipuka si ndo atawaongeza majeraha?
Muandishi ndiye mwe llNani mwenye stress sasa?