Msafara wa magufuli waacha gumzo

Msafara wa magufuli waacha gumzo

Mbona huku dar, hatendewi hayo, hata alipokuja mbagala wengine tulipishananae kwenye "vichochoro" vyetu na kunaambao hawakujua magufuli ni nani tz.
 
Wajameni ndo kusema watu wa kanda ya ziwa wanamthamini mtu huyu kwa nafasi ya juu kabisa (Urais) hata kabla ya uchaguzi 2015 ?

Story nzima hapa chini, kazi twende!


MSAFARA wa Waziri wa Ujenzi, John Mgaufuli umeacha maswali jijini Mwanza baada ya kuwa na magari 26,viongozi mbalimbali wa mkoa na kusindikizwa na kuongozwa na pikipiki inayoongoza msafara wa viongozi wa kitaifa akiwa Rais.


Source : Mwananchi, 12 January 2013

Hutaki unaacha, Dr. John Pombe Magufuli anapiga jalamba
 
kiongozi wa ngazi kama yake akihitaji kufanya jambo kwa haraka anaweza kuomba escot na akapewa.
 
Arudishe kwanza nyumba za SERIKALI alizogawa kama Pipi kwa wenzake na yeye akajigawia.

Umenikumbusha habari ya yule suria wake akijulikana kwa jina la Sundi Malomo, sijui lie nyumba aliirudisha au bado anaendelea kuimiliki.
 
Anastaili, kazi yake tunaiona
Anastahili kwa sababu ya hizo kazi zinazoonekana je Hekima anayo? urais si wa kukimbilia tu si unaona JK anavyochemka, Je na ile kashfa ya samaki aliliingizia taifa hasara kiasi gani.
 
Huyu watanzania wanajua nini kawafanyia ktk muda wake wa utumishi miaka 17 ( 1995 - to date) historia inamurinda achana na wadandiaji wengine! Hakuna kitu kigumu kama kumaintain performance but kichwa hiki kimeweza!
 
Nyumba kauza,baadhi ya mawaziri wankaa kwenye mahoteli. Ndo jaramba analopiga hilo? Atauza mpaka vijiko.
 
Back
Top Bottom