Msafara wa Lema katika picha

Msafara wa Lema katika picha

Fidel80

JF-Expert Member
Joined
May 3, 2008
Posts
21,945
Reaction score
4,499

Mwenyekiti Mbowe akihutubia wafuasi wa chama chake makao makuu baada ya Lema Kurudishiwa ubunge na mahakama ya rufaa
Mwanachama akiwa na bango linalosema SAY NO TO TBC.ikumbukwe kuwa kamati kuu ya chama ilishatangaza mgogoro na TBC.

Umati wa wanachama wakiwa makao makuu
Lema akiongea na viongozi wa chadema.Lwakatare(mkurugenzi wa ulinzi na usalama wa taifa) na John mrema (mkurugenzi wa Bunge na Halmashauri)
Source:Mjengwa Blog::Habari,Picha,Matangazo: Msafara Wa Lema Waishia Makao Makuu CHADEMA
 
Haki ya mtu hainunuliki hakika sheria ni kuangalia upya jimbo limekaa pweke muda mrefu!
 
Mwanachama akiwa na bango linalosema SAY NO TO TBC.ikumbukwe kuwa kamati kuu ya chama ilishatangaza mgogoro na TBC.

Umati wa wanachama wakiwa makao makuu

Hiyo t-shirt na cap ya M4C ziko kileo kabisa...kwa nini CDM wasitengeneze za kutosha zikauzwa kwenye baadhi ya maduka???

Nimeona Brand House (posta) wanauza gwanda za ukweli kwa 200k, ingawa si mwanaCDM nataka nioke na moja
 
Mungu anamiujiza yake jamani.. Mwacheni Mungu aitwe Mungu huwa anawaaibisha waliozoea kula juu ya migongo ya wenzao mchana kweupo na hakuna awezaye kumzuia. Hongera sana Mh. Lema
 
Wakishinda wao"Haki imetendeka, Wakishindwa, Mahakama haitendi haki"
 
Mungu aibariki Tanzania ye2 mungu aibariki chadema, hongera lema chuga 2nakutegemea.
 
Hiyo t-shirt na cap ya M4C ziko kileo kabisa...kwa nini CDM wasitengeneze za kutosha zikauzwa kwenye baadhi ya maduka???

Nimeona Brand House (posta) wanauza gwanda za ukweli kwa 200k, ingawa si mwanaCDM nataka nioke na moja

Kwanza kula LIKE mkuu halafu zikuzwa madukani walahi hiyo ni bonge ya Kampeni ya kuhakikisha kwamba 2015 ni ikulu moja kwa moja.
 
Wakishinda wao"Haki imetendeka, Wakishindwa, Mahakama haitendi haki"

Ndiyo manake mkuu kama unabisha kamuulize JK. Hapo roho inakuumaje kwa ushindi wa Lema? Nenda Kajiuwe tu mkuu.
 
Ndiyo manake mkuu kama unabisha kamuulize JK. Hapo roho inakuumaje kwa ushindi wa Lema? Nenda Kajiuwe tu mkuu.
Roho iume kwa chama chenye wabunge 24, tena wabunge wenyewe ni nyuki wa mashineni, (Kuuma hawaumi, wala hawatengenezi asali) kazi yao ni kupiga kelele tu?????????
 
Back
Top Bottom