Leo oktoba 01, 2025 Mgombea wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi, (CCM), Dkt. Samia Suluhu Hassan atawasili katika Mkoa wa Arusha Katika Jimbo la Arusha Mjini kuanza Mikutano yake ya Kuomba Kampeni kuomba Kura kwa Wananchi. Kupitia Ujio huo Wadau mbali mbali wa sekta ya Utalii Nchini Mkoani Arusha wametoa magari ya Utalii zaidi ya mia moja kwenye Mapokezi ya Dkt. Samia Mkoani humo.
Mbona helkopta inapepea angani na yeye anatumia gari? Naona majimbo yaliyo nje na barabara kuu wagombea wake hukutana kwenye kituo kimoja. Hapa yupo bomang'ombe akielekea arusha. Namuona Mollel na Shaashisha kituo chao ni bomang'ombe ndio mgombea urais anafanya mkutano hapo na hatimaye aingie mkoa wa arusha
Yuko Arumeru, naona mgombea ubunge wa arumeru magharibi si muongeaji mzuri kama mwenzake wa mashariki, sijui alishandaje kura za maoni na uzee wote ule!